- Thread starter
- #21
hizo ni heresay tu kaka. ukitaka kufa haraka, anza hako kamchezo
Heresay? unaishi dunia gani rafiki? Kuna mada moja hapa ililetwa zamani na mwanamke akisema kuwa yamemtokea yeye na hajua aanze vipi kumwambia mume wake!!!
Kwa nini nife haraka? Kupima ni kama kupiwa ukimwi vile. Ni bora kujua. Kwanza haka kamchezo hakatazidi idadi ya watoto niliyonayo/nitakayokuwa nayo. Kila mtu huchukua maamuzi tofauti kwenye hali fukani, Mwingine atasema poa tu, namtunza ila niambie baba yake, mwingine atamfukuza mke na mtoto, mwingine atajinyonga.... Sasa wewe usifikiri hatua utakayochukua wewe ni sawa nitakayochukua mimi. Ukweli unabaki kuwa ni muhimu kujua watoto wote wewe ni baba yao.
Huko ni kujiliwaza tu. Mtoto ana haki vile vile ya kumfahamu biological father wake na wadogo zake wenginehata kama si mtoto wako wa kweli si atakuwa kapitia kila kitu through wewe kama huyo mtoto wa kweli kasoro mbegu tu? tafuta wa pili kama una wasi wasi sana lakini kama uko powa chukulia kama ume-adopt tu ndio maisha hayo.