Inawezekana kuna uhasilia hapa. Kuna wengine wanabishahaijalishi. Cha muhimu kama kuna mmoja amesema angalia tabia ya wangoni ikoje.Kwani yale mambo yanaanzia mbali na wanawake kuna mambo wanayopendelea yakiwemo:Ucheshi, Uchangamfu, kucare, kumfanya mwananmke ajisikie ni yeye tu , kumjali –sasa huenda hivi humaliziwa na matendo, huenda kabila hili wanavyo. Lakini tukumbukepia kuna makabila yalienda jandoni nahisi wangoni pia wamo. Msiniulize evidence jamani. Sasa kuna wakaka/ wadada wanadhani niushamba au uzamani jamani muwaconsult wawaeleze hayo mafundisho nadaniyanasaidia.
Sasa utakuta mtu yukoserious kama yuko na mtuhumiwa jamani hata mudi itakuja? Tuna mengi yakujifunza jamani maana mahusiano ni magumu na hapohapo ni muhimu! Jamani dadaambaye amepata mafunzo haya tujuzane maana karibu nafanya maamuzi magumu yakutangaza NIA sio ile ya kisiasa bali yakijamii!