hahaha Mkuu PJ mzima wewe? Heri ya mwaka mupya banaa!!Na sisi akina m'baba ndo aje broda?...you should be a biased person, eeh?
BTW, nami naongezea hapohapo...sala zangu ziko kwenu dada zangu nyote, hasa kwa mwaka huu wa 2011...Napata maono ya harusi nyingi sana ndani ya JF mwaka huu!😛arty:...
Habari zenu, na heri ya mwaka mpya 2011!!!!
Tambueni kuwa tunawapenda sana!!Nawatakia kila la heri kwenye maisha yenu
ndani ya 2011.
Kwa akina dada walio ndani ya ndoa, Mungu awabariki na kuwazidishia moyo wa UPENDO na UVUMILIVU
Kwa wale single - lady, Mungu awape FARAJA na moyo wa MATUMAINI ili mwaka huu nanyi mpate wenza wenu wa maisha
Na kwa wale wanaotembea na waume za watu, basi taratibu jamani, sio mpaka UNAJIMILIKISHA kabisa, UTAUA BENDI!Ni dhambi kwa Mungu mwenyezi!
TUNAWAPENDA SANA!!!!!
Nawasilisha!!!!!!
Na sisi akina m'baba ndo aje broda?...you should be a biased person, eeh?
BTW, nami naongezea hapohapo...sala zangu ziko kwenu dada zangu nyote, hasa kwa mwaka huu wa 2011...Napata maono ya harusi nyingi sana ndani ya JF mwaka huu!😛arty:...
Asante sana bacha, ubarikiwe kabisa kabisa, Kwene hiyo paragraph ya mwisho, mdada achia ndoa ya mwanamke mwenzio na Mungu atakupa mume mwema kwa wakati.
Na sisi akina m'baba ndo aje broda?...you should be a biased person, eeh?
BTW, nami naongezea hapohapo...sala zangu ziko kwenu dada zangu nyote, hasa kwa mwaka huu wa 2011...Napata maono ya harusi nyingi sana ndani ya JF mwaka huu!😛arty:...
sio kwamba nipo biased pj, ila ni mtizamo tu!
Tunawapenda sana hawa dada zetu!!!
Heri ya mwaka mpya! Bacha anawapenda sana! Btw mbona umetoroka mlimani sayuni?Senks bacha
Asante sana,na mm pia nakupenda.Waswahili wanasema mpende akupendae na asiyekupenda achana nae....karibu ZD!!!!
Nawapenda sana sio utani!!!!!!
Nilikuwa naangalia nini kinaendelea duniani ili nipate pa kuaniza maombi.Heri ya mwka mpya kwako pia!Uwe mwaka wa mafanikioHeri ya mwaka mpya! Bacha anawapenda sana! Btw mbona umetoroka mlimani sayuni?
Na wewe pia dia ufanikiwe kwa yote! Haya panda mlimani nadhani Wiselady anakusubiri huko! Kaizer cjui kapotelea wapi!... Nilikuwa naangalia nini kinaendelea duniani ili nipate pa kuaniza maombi.Heri ya mwka mpya kwako pia!Uwe mwaka wa mafanikio
yes, shirikisha wenzio na wambie kuwa mpango mzima na uheshimiwe!
Tunawapenda sana!