Kwa akina dada wote wa MMU!

Kwa akina dada wote wa MMU!

Na sisi akina m'baba ndo aje broda?...you should be a biased person, eeh?

BTW, nami naongezea hapohapo...sala zangu ziko kwenu dada zangu nyote, hasa kwa mwaka huu wa 2011...Napata maono ya harusi nyingi sana ndani ya JF mwaka huu!😛arty:...
hahaha Mkuu PJ mzima wewe? Heri ya mwaka mupya banaa!!
 
Habari zenu, na heri ya mwaka mpya 2011!!!!
Tambueni kuwa tunawapenda sana!!Nawatakia kila la heri kwenye maisha yenu
ndani ya 2011.

Kwa akina dada walio ndani ya ndoa, Mungu awabariki na kuwazidishia moyo wa UPENDO na UVUMILIVU

Kwa wale single - lady, Mungu awape FARAJA na moyo wa MATUMAINI ili mwaka huu nanyi mpate wenza wenu wa maisha

Na kwa wale wanaotembea na waume za watu, basi taratibu jamani, sio mpaka UNAJIMILIKISHA kabisa, UTAUA BENDI!Ni dhambi kwa Mungu mwenyezi!
TUNAWAPENDA SANA!!!!!

Nawasilisha!!!!!!

Asante sana bacha, ubarikiwe kabisa kabisa, Kwene hiyo paragraph ya mwisho, mdada achia ndoa ya mwanamke mwenzio na Mungu atakupa mume mwema kwa wakati.
 
Na sisi akina m'baba ndo aje broda?...you should be a biased person, eeh?

BTW, nami naongezea hapohapo...sala zangu ziko kwenu dada zangu nyote, hasa kwa mwaka huu wa 2011...Napata maono ya harusi nyingi sana ndani ya JF mwaka huu!😛arty:...

Happy new year PJ, Mungu jalia huu unabii utimie.
 
Asante sana bacha, ubarikiwe kabisa kabisa, Kwene hiyo paragraph ya mwisho, mdada achia ndoa ya mwanamke mwenzio na Mungu atakupa mume mwema kwa wakati.

yes, shirikisha wenzio na wambie kuwa mpango mzima na uheshimiwe!
Tunawapenda sana!
 
Na sisi akina m'baba ndo aje broda?...you should be a biased person, eeh?

BTW, nami naongezea hapohapo...sala zangu ziko kwenu dada zangu nyote, hasa kwa mwaka huu wa 2011...Napata maono ya harusi nyingi sana ndani ya JF mwaka huu!😛arty:...

sio kwamba nipo biased PJ, ila ni mtizamo tu!
TUNAWAPENDA SANA HAWA DADA ZETU!!!
 
Bacha nimekumiss.
Hebu nipm roho yangu ifurahi zaidi.
Heri ya mwaka mpya.
 
Bacha nimekumiss.
Hebu nipm roho yangu ifurahi zaidi.
Heri ya mwaka mpya.

Miss you too dear!
Mwaka umeanza vizuri tu kama wewe,
TUNAWAPENDA SANA!!!
 
Kweli unatupenda...asante Bacha na wewe nakutakia kila lililo jema!Be blessed
 
karibu ZD!!!!
Nawapenda sana sio utani!!!!!!
Asante sana,na mm pia nakupenda.Waswahili wanasema mpende akupendae na asiyekupenda achana nae....

Heri ya mwaka mpya! Bacha anawapenda sana! Btw mbona umetoroka mlimani sayuni?
Nilikuwa naangalia nini kinaendelea duniani ili nipate pa kuaniza maombi.Heri ya mwka mpya kwako pia!Uwe mwaka wa mafanikio
 
... Nilikuwa naangalia nini kinaendelea duniani ili nipate pa kuaniza maombi.Heri ya mwka mpya kwako pia!Uwe mwaka wa mafanikio
Na wewe pia dia ufanikiwe kwa yote! Haya panda mlimani nadhani Wiselady anakusubiri huko! Kaizer cjui kapotelea wapi!
 
Hapo kwny single ladies.. Asante sana kaka nawe nakuombea a prosperous 2011
 
Back
Top Bottom