Habari zenu, na heri ya mwaka mpya 2011!!!!
Tambueni kuwa tunawapenda sana!!Nawatakia kila la heri kwenye maisha yenu
ndani ya 2011.
Kwa akina dada walio ndani ya ndoa, Mungu awabariki na kuwazidishia moyo wa UPENDO na UVUMILIVU
Kwa wale single - lady, Mungu awape FARAJA na moyo wa MATUMAINI ili mwaka huu nanyi mpate wenza wenu wa maisha
Na kwa wale wanaotembea na waume za watu, basi taratibu jamani, sio mpaka UNAJIMILIKISHA kabisa, UTAUA BENDI!Ni dhambi kwa Mungu mwenyezi!
TUNAWAPENDA SANA!!!!!
Nawasilisha!!!!!!