Masterplaner
Senior Member
- Jul 30, 2020
- 121
- 184
Naitazama kwa umakini sana hii mechi ya Al ahly vs Palmeiras ya brazili, ni wazi kuwa Al ahly wameimarika maradufu tangu wakati ule tulipo wafunga pale taifa goli moja naomba ikiwezekana timu Yangu ya Simba ijiwekee utaratibu mwingine kwamba angalau tushinde japo mechi moja ugeninini ili tuweze kusonga mbele, kuifunga hii Timu pale kwa Mkapa uwezekano ni mdogo sana ukiitazama hata ilipo cheza na Bayern Munich