Kwa Al Ahly hii ule utaratibu wetu wa point 9 kwa Mkapa utawezekana kweli?

Kwa Al Ahly hii ule utaratibu wetu wa point 9 kwa Mkapa utawezekana kweli?

Nimefurahi nilicho kitamani kwamba walau tupate point 3 ugenini tumefanikisha Sasa Al ahly tutacheza nao bila hofu nadhani Sasa waje tu tutushughulika nao
 
Naitazama kwa umakini sana hii mechi ya Al ahly vs Palmeiras ya brazili, ni wazi kuwa Al ahly wameimarika maradufu tangu wakati ule tulipo wafunga pale taifa goli moja naomba ikiwezekana timu Yangu ya Simba ijiwekee utaratibu mwingine kwamba angalau tushinde japo mechi moja ugeninini ili tuweze kusonga mbele, kuifunga hii Timu pale kwa Mkapa uwezekano ni mdogo sana ukiitazama hata ilipo cheza na Bayern Munich
Jibu umelipata kwa AS Vita jana
 
Jibu umelipata kwa AS Vita jana
Mkuu Algore nimefurahi sana shukrani za pekee zimwendee THADEO LWANGA, na wachezaji wote kiujumla, benchi la ufundi uongozi wa timu bila Kumsahau Manula kwa kazi nzuri pale golini. Kuna michomo ya hatari ili dakwa kwa ustadi mkubwa sana.
 
Juzi tu Azam kawatoa kamasi. Ukweli ni kwamba Plateau na Platnum havikuwa vipimo sahihi kwani ni timu zilitoka kwenye ligi iliyokuwa imesimamishwa muda mrefu. Angalau kipimo cha kufanya tathmini sahihi ni kuanzia game ya leo.
sawaaaa
 
Kama vile Simba ilivyoibugiza Coastal Union goli Saba,na Coastal Union hiyo ikaigonga Azam 2-1, na Azam hiyo ikaidindia Simba 2-2. Mpira una maajabu yake
Asante kwa jibu mjarabu, tarehe 23/02/2021 zitajukikana mbivu na mbichi.
 
Back
Top Bottom