Kwa Al Ahly hii ule utaratibu wetu wa point 9 kwa Mkapa utawezekana kweli?

Nguvu Moja
 
Hapo matokeo kuletwa na sababu nyingi kama nimekupata, inaweza kuwa kupuliza dawa vyumbani, kusingizia wachezaji wa timu pinzani wana corona pamoja na sababu nyingine za namna hiyo.
Chifu kwahyo kama mchezaji anakolona acheze tu jamaa Kakwambia ushindi unakuja kwa sababu lukuki japo ubora wa timu huamua matokeo nikweli Al Ahly wamekuwa bora ukilinganisha na mwaka ule ila usisahau nayo simba imeimarika tofauti na simba ile kwahyo kwenye michuano hii chochote kinaweza kutokea na mkabaki midomo wazi
 
Vipimo vilikuwa vya kubumba.
 
Juzi tu Azam kawatoa kamasi. Ukweli ni kwamba Plateau na Platnum havikuwa vipimo sahihi kwani ni timu zilitoka kwenye ligi iliyokuwa imesimamishwa muda mrefu. Angalau kipimo cha kufanya tathmini sahihi ni kuanzia game ya leo.
 
Kama umeangalia game al haily ni timu ya kawaida wale wa Brazil kina Mello na Luiz wanaonekana wengi hawakuwa fit mpira waliocheza ni wa kawaida sana sema wana kipa na beki bora
Sidhani kama aliyekupa like anajua anachofanya.
 
Juzi tu Azam kawatoa kamasi. Ukweli ni kwamba Plateau na Platnum havikuwa vipimo sahihi kwani ni timu zilitoka kwenye ligi iliyokuwa imesimamishwa muda mrefu. Angalau kipimo cha kufanya tathmini sahihi ni kuanzia game ya leo.

Nyinyi kipimo chenu sahihi ninani?
 
Tumeshapata 3pts kwa As Vita tena kwao, je una hoja nyingine?
 
Reactions: BRN
Juzi tu Azam kawatoa kamasi. Ukweli ni kwamba Plateau na Platnum havikuwa vipimo sahihi kwani ni timu zilitoka kwenye ligi iliyokuwa imesimamishwa muda mrefu. Angalau kipimo cha kufanya tathmini sahihi ni kuanzia game ya leo.
Sisi siyo Utooo, tumepata 3pts jijini Kishansa, jiji lenye watu 13million(msisitizo ni kuwa tumeshinda AWAY MATCH)
 
Juzi tu Azam kawatoa kamasi. Ukweli ni kwamba Plateau na Platnum havikuwa vipimo sahihi kwani ni timu zilitoka kwenye ligi iliyokuwa imesimamishwa muda mrefu. Angalau kipimo cha kufanya tathmini sahihi ni kuanzia game ya leo.
[emoji867]
 
Mlango wa kwenda kuzimu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bwahahahaaaa ukiloga umejiloga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juzi tu Azam kawatoa kamasi. Ukweli ni kwamba Plateau na Platnum havikuwa vipimo sahihi kwani ni timu zilitoka kwenye ligi iliyokuwa imesimamishwa muda mrefu. Angalau kipimo cha kufanya tathmini sahihi ni kuanzia game ya leo.

Juzi tu Azam kawatoa kamasi. Ukweli ni kwamba Plateau na Platnum havikuwa vipimo sahihi kwani ni timu zilitoka kwenye ligi iliyokuwa imesimamishwa muda mrefu. Angalau kipimo cha kufanya tathmini sahihi ni kuanzia game ya leo.
Kipimo sahihi ni Leo aya tumeshinda sema jingne bila shaka utasema kipimo sahihi na ele merekh hua mnaama mtani
 
sawa tuemmaliza afrika nzima imetikisika tukutane tarehe 23 dunia tajua visti tanzania wajinga nyieeee
 
Wasifungike wao nani?

Kwani tulipowafunga last time Taifa nani alitegemea?

Kwny Champions league hakuna timu ya kubeza
 
Simba 1 As vita 0.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…