Masterplaner
Senior Member
- Jul 30, 2020
- 121
- 184
- Thread starter
-
- #41
Jibu umelipata kwa AS Vita janaNaitazama kwa umakini sana hii mechi ya Al ahly vs Palmeiras ya brazili, ni wazi kuwa Al ahly wameimarika maradufu tangu wakati ule tulipo wafunga pale taifa goli moja naomba ikiwezekana timu Yangu ya Simba ijiwekee utaratibu mwingine kwamba angalau tushinde japo mechi moja ugeninini ili tuweze kusonga mbele, kuifunga hii Timu pale kwa Mkapa uwezekano ni mdogo sana ukiitazama hata ilipo cheza na Bayern Munich
Mkuu Algore nimefurahi sana shukrani za pekee zimwendee THADEO LWANGA, na wachezaji wote kiujumla, benchi la ufundi uongozi wa timu bila Kumsahau Manula kwa kazi nzuri pale golini. Kuna michomo ya hatari ili dakwa kwa ustadi mkubwa sana.Jibu umelipata kwa AS Vita jana
sawaaaaJuzi tu Azam kawatoa kamasi. Ukweli ni kwamba Plateau na Platnum havikuwa vipimo sahihi kwani ni timu zilitoka kwenye ligi iliyokuwa imesimamishwa muda mrefu. Angalau kipimo cha kufanya tathmini sahihi ni kuanzia game ya leo.
Asante kwa jibu mjarabu, tarehe 23/02/2021 zitajukikana mbivu na mbichi.Kama vile Simba ilivyoibugiza Coastal Union goli Saba,na Coastal Union hiyo ikaigonga Azam 2-1, na Azam hiyo ikaidindia Simba 2-2. Mpira una maajabu yake