2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Kwanza kabisa mimi ni msimbazi damu. Ukinikata damu yangu ni nyekundu kama bendera ya simba ilivyo.
Nimeangalia mechi zote za FIFA Club world cup Qatar hawa waarabu hawana masihara. Bora Ahly iliyopita ila siyo hii ya iliyoshika nafasi ya 3 kwenye mashindano hayo
Msimbazi tuanze kujipanga mapema tunafanyaje? Kama tunategemea Mungu tunajidanganya kabisa Mungu hajihusishi na mambo ya kijinga( yasiyo ya ufalme)
Wana msimbazi tunafanyaje?