Hawachomoi kwa paka mweusiNi mwendo wa khamsa tu,utelembwe mkanywe supu ya mkia pale kariakoo.
Acha ufala mpira hauko hivyoooKwamza kabisa mimi ni msimbazi damu. Ukinikata damu yangu ni nyekundu kama bendera ya simba ilivyo..
beki onyangoAl ahly hili kundi ataongoza na mmojawapo kati ya as vita au el mereikh...
Simba haijazoea mpira wa kasi na pressing ambao waarabu ndio wanauweza
Kwamza kabisa mimi ni msimbazi damu. Ukinikata damu yangu ni nyekundu kama bendera ya simba ilivyo.
Nimeangalia mechi zote za FIFA Club world cup Qatar hawa waarabu hawana masihara. Bora Ahly iliyopita ila siyo hii ya iliyoshika nafasi ya 3 kwenye mashindano hayo...