Kwa alichosema Mange Kimambi kama ni kweli, basi JWTZ walipaswa waseme mapema zaidi

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Ipo video amepost dada wa Taifa imenifanya kuleta uzi huu kwani nimewaza mengi bila majibu.

Mange anasema yaani kuna vikosi vinamilki bunduki bila risasi!
Kikosi kingine kinamilki risasi lakini hakina bunduki!

Dada wa Taifa anasema kuna vikosi vina milki vifaru lakini hizina munitions
Na walio na munitions hawana vifaru.

Mange kaenda mbali zaidi anasema ikitokea tukavamiwa na nchi jirani hadi wakae pamoja na kuelewana tunakuwa tumeshamalizwa!!

Anasema mfano munitions zitoke morogoro hadi Lugalo na hapo lazima wakae pamoja na wakubaliane kwa pamoja kwa umoja!

Anasema hata wanakuwa hawajuani ......video ni ndefu sana hapa haiwezi kukaa.

MIMI NASEMA JWTZ ACHENI VISINGIZIO MLIKUWA WAPI KUSEMA HAYO?

MLISISITIZA RAIA TUTOKE KWA WINGI KWELI TUMEFANYA HIVYO KITU AMBACHO HATA KENYA WENYEWE HAWAKUAMINI
LEO HII MNALETA VISINGIZIO.
 
hilo halijaanza leo, ni tangia zamani wakati wa Nyerere baada ya jaribio la mapinduzi, vikosi vyote vinategemeana, hivyo kikosi kimoja hakiwezi kuanzisha uasi pekee yake kwa maana watahitaji kitu ktk kikosi kingine na vice versa, hilo nililisikia muda mrefu sana tu kabla hata ya kiwete au samia kuwa raisi, lkn wote wako chini ya cdf ...
Tesha alikuja kutulaghai?
Kama ilikuwa hivyo maana ya kutuhakikishia tutoke ili kuwa ni nini?

Kifupi waache kisingizio huo ni uoga watumie hata mapanga sasa kuokoa nchi wananchi tumekufa sana.
 
Dah nimeisikiliza ile video aisee yaani Nyerere alitengeneza Password Ngumu sana kuitatua.
Lakini ninachjiuliza Nyerere amekufa miaka karibia 30 iliyopita ina maana hakujatokea kiongozi mwingine wa kuleta mawazo mapya na kuubadilisha huo mfumo
Nimechoka kabisa yaani hata tunao wategemea nao wana visingizio vyao!

Kwanini walituhakikishia ushindi kwa namna hii hali wakijua kabisa ni ngumu wao kuchukua nchi

Wakijua dhahiri kuwa watu wengi watakufa na hakuna matokeo watapa?
 
Ipo video amepost dada wa Taifa imenifanya kuleta uzi huu kwani nimewaza mengi bila majibu.

Mange anasema yaani kuna vikosi vinamilki bunduki bila risasi!
Kikosi kingine kinamilki risasi lakini hakina bunduki!

Dada wa Taifa anasema kuna vikosi vina milki vifaru lakini hizina munitions
Na walio na munitions hawana vifaru.

Mange kaenda mbali zaidi anasema ikitokea tukavamiwa na nchi jirani hadi wakae pamoja na kuelewana tunakuwa tumeshamalizwa!!

Anasema mfano munitions zitoke morogoro hadi Lugalo na hapo lazima wakae pamoja na wakubaliane kwa pamoja kwa umoja!

Anasema hata wanakuwa hawajuani ......video ni ndefu sana hapa haiwezi kukaa.

MIMI NASEMA JWTZ ACHENI VISINGIZIO MLIKUWA WAPI KUSEMA HAYO?

MLISISITIZA RAIA TUTOKE KWA WINGI KWELI TUMEFANYA HIVYO KITU AMBACHO HATA KENYA WENYEWE HAWAKUAMINI
LEO HII MNALETA VISINGIZIO.
Acha uchochezi maandamano hakuna nchini hizo video za zamani
 
hilo la Tesha silifahamu lkn hiyo story ya vikosi kutokujitosheleza nililisikia muda mrefu sana tu, tena kuna mjeda mwenyewe alinipa tour kikosini akaniambia hivyo zamani sana tu ...
HAPO NDO NIMEOGOPA SANA. NDIO MAANA WANASIASA WANAFANYA HAYA WAKIJUA SISI WANANCHI HATUNA MSAADA POPOTE TOFAUTI NA KULALAMIKA MITANDAONI KAMA HIVI
 
Ipo video amepost dada wa Taifa imenifanya kuleta uzi huu kwani nimewaza mengi bila majibu.

Mange anasema yaani kuna vikosi vinamilki bunduki bila risasi!
Kikosi kingine kinamilki risasi lakini hakina bunduki!

Dada wa Taifa anasema kuna vikosi vina milki vifaru lakini hizina munitions
Na walio na munitions hawana vifaru.

Mange kaenda mbali zaidi anasema ikitokea tukavamiwa na nchi jirani hadi wakae pamoja na kuelewana tunakuwa tumeshamalizwa!!

Anasema mfano munitions zitoke morogoro hadi Lugalo na hapo lazima wakae pamoja na wakubaliane kwa pamoja kwa umoja!

Anasema hata wanakuwa hawajuani ......video ni ndefu sana hapa haiwezi kukaa.

MIMI NASEMA JWTZ ACHENI VISINGIZIO MLIKUWA WAPI KUSEMA HAYO?

MLISISITIZA RAIA TUTOKE KWA WINGI KWELI TUMEFANYA HIVYO KITU AMBACHO HATA KENYA WENYEWE HAWAKUAMINI
LEO HII MNALETA VISINGIZIO.
Sidhani kama hili ni kweli. Hata vikosi vya JKT vina armories zilizokamilika. Labda kama mambo yamebadilika miaka hii.
 
Tesha alikuja kutulaghai?
Kama ilikuwa hivyo maana ya kutuhakikishia tutoke ili kuwa ni nini?

Kifupi waache kisingizio huo ni uoga watumie hata mapanga sasa kuokoa nchi wananchi tumekufa sana.
Tesha hakudanganya, ni lack of preparation. Lakini pia in simple terms kama ume serve jeshini before (si jkt), hii ni known issue
 
Wasipochukua nchi hawana namna yoyote ile wakajitetea tukawaelewa tutawaona ni walewale tu wanaotumiwa kama police na hututa wathamini wala kuwaheshimu na tutaona wazi TZ hatuna kimbilio popote pale
 
Ipo video amepost dada wa Taifa imenifanya kuleta uzi huu kwani nimewaza mengi bila majibu.

Mange anasema yaani kuna vikosi vinamilki bunduki bila risasi!
Kikosi kingine kinamilki risasi lakini hakina bunduki!

Dada wa Taifa anasema kuna vikosi vina milki vifaru lakini hizina munitions
Na walio na munitions hawana vifaru.

Mange kaenda mbali zaidi anasema ikitokea tukavamiwa na nchi jirani hadi wakae pamoja na kuelewana tunakuwa tumeshamalizwa!!

Anasema mfano munitions zitoke morogoro hadi Lugalo na hapo lazima wakae pamoja na wakubaliane kwa pamoja kwa umoja!

Anasema hata wanakuwa hawajuani ......video ni ndefu sana hapa haiwezi kukaa.

MIMI NASEMA JWTZ ACHENI VISINGIZIO MLIKUWA WAPI KUSEMA HAYO?

MLISISITIZA RAIA TUTOKE KWA WINGI KWELI TUMEFANYA HIVYO KITU AMBACHO HATA KENYA WENYEWE HAWAKUAMINI
LEO HII MNALETA VISINGIZIO.
Hiyo ipo hivyo kwa majeshi yote Duniani ila ni kwa siraha kubwa tu na sio siraha ndogo. Na lengo la hilo ni usalama . Maana uko kabini nako kuna Wanajeshi wengi vichaa anaweza kubeba hiyo siraha kubwa na akaingia nayo mjini na kupiga watu, so hiyo ni kwa sababu ya security tu ya hizo siraha kubwa tu sasa kuchukua nchi hakuitaji siraha kubwa na hakuna mapinduzi yamefanyika kwa siraha kubwa duninani.
 
Kimsingi hiyo bado siyo hoja ya msingi ,

Issue ya department siyo jambo jipya , na hakuna kitengo kisicho na department.

Kilichosumbua ni kwamba jamaa (upande wa mitandao) walikuwa mbele ya muda , coordinator alidakwa before .

Mwanzo CDF kwa kushirikiana na ma captain wa vikosi mbalimbali walikuwa wamekubaliana ngoma ilale hii .

Wakati wa majadiliano pande zote mbili kila moja ilikuwa ikizichangankarata kwa umakini sana .

Upande wa mitandao walikuwa na recommendations zao kuwa ili ngoma waimalize poa nilazima wapiga kelele wawekwe kati

Hapo ndiyo likaja wazo la kuwadhibiti kila anaefanya nywinywinywi kuanzia Polepole hadi wa hatutiki.

Ndipo wakaona wacha waandae drama kwa kumtumia CDF amuhakiiishie usalama Polepole na arejee Bongo ,lakini ili kuongeza nguvu wakamtoa Cptn Tesha kumuhakiiishia Polepole kuwa ngoma imeisha hiyo na jamaa akaingia king kweli.

Kwenye macho ya pamoja kwa maana ya CDF na team mitandao was total prank although kwa upande wa CDF na wenzake plan ya kukomboa Taifa was really na ukweli nikwamba ngoma ilikuwa ilale kweli.

Lakini ilipofikia dakika ya 83 kunawatu machale yakawacheza kuwa wee usitunitanie , issue kubwa hii , makosa madogo madogo yanakuwaga na madhara makubwa so tusije tukauzana dakika za mwisho then ikawa mbaya ,ndiyo yakafanyika maamuzi ya ile fire back up just for emegence .

kweli ilivyofika tarehe husika ,vijana wakaingia kitaa kama walivyoaminishwa.

mioyoni mwa macaptain walishahitimisha hivyo , kengele ya hatari ikalia ,wazee wa nywinywinywi baada ya kuona mbona hawa jamaa hii huduma wanayoitoa mbona kama ndivyo sivyo hivi ? Yaani wanawalinda badala ya kuwadhibiti , how?

Hatua ya kwanza ikawa ile fire back up ipewe majukumu ,wakasambazwa kwa ndege chap , hatua ya pili ni CDF kuitwa kuulizwa kulikoni ,alivyokosa majibu ya yaliyonyooka ikaamuliwa awekwe chini ya uangalizi .

kumbuka kule ma captain wavikosi wapo na utayari wa kutosha lakini kiunganishi kashapigwa pin .

vijana walioko field bado wanaishi na uelekeo wa mwanzo waliyopewa na maboss wao.

Hawajui sasa wafanye nini ,mwisho wa siku wale ma captain kwakuwa hawakuwa coordinated hawakuwa na way forward,hata wakiamua kuanzisha uasi watautekelezaje wakiwa bado hawaonani?

wakaona bora ngoma waumwage tu na ngoma ikabumia hapo .

Kwa mujibu wa hisia zangu naona kama vile ngoma ilikuwa hivyo.
 
YOTE KWAYOTE WAACHE VISINGIZIO WANANCHI TUMEFANYA SEHEMU YETU KWA KISHINDO MNO
 
Jeshi limetuuza
Jeshi la kulaumiwa sana

Tujipe moyo bado tunaweza kuyashinda haya
 
Bingwa andika riwaya tukuunge buku buku.......
 
Back
Top Bottom