Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hujui SMS Na picha zake zilivyo tamu,unaweza ukajutia kufuta namba,"running away from the problem is not the way of solving it."Ungekua unamuogopa Mungu wala usingeliweka akilini, talk less of kutafuta ushauri.
Kwa mtu anaempenda Mungu angemblock huyo sister an kufuta namba yake.
Wengi wanaoacha usister hurukwa na akili..Kwanza kuna uwezekano anakuzidi sana ki-umri. Kama ndio, je upo tayari kuoa huyo sister mara atakaposhtukiwa na mother superior na kuondolewa kwenye kundi?
......Na huyo Sister anaitwa Kasinde![emoji1]Nishawahi kupendana na "sister"
Mwache Sista wa Mungu amtumikie mungu![emoji1]
He!!!Bikira Maria akikutokea wakati "boloyang" ameshazama utamjibu nini?
Ebu nipe no ya huyo sister ili nimtoe mapepo.
Yeah usipotumia c.o , utakufa kwa kuukwaa kwani sio wote walio clean . kwa sababu ya uharaka na wanayo gegedwa c.o huwa haikumbukwi. So take careUkimla sister lazima ufe mkuu!....believe me!
Hivi mkuu mpaka leo huna habari kuwa Kasie nae ni Sista?😱Sipo na huyo sister tena... Nipo na Kasinde kwa sasa...
sio bikra, hata wanaume huwa sio bikra. john paul wa pili aliishi maisha ya kawaida hadi kuvuka miaka 18 ndio baadaye akaenda utawani. kwa ulaya, hakuna kijana anafika 18 bila kufanya ngono. masista nao ni wanadamu tu, kuishinda ngono kama hauna Mungu ni kazi sana, kibinadamu huwezi. wanafanya sana tu, na mapadri nao wana watoto wengi tu mtaani huku. ajabu ni kwamba, wakifumaniwa, anayefukuzwa huwa ni sista, mapadri hata uwafumanie huwa wanahamishwa kituo tu.Hivi hao wanakuwaga mabikra kweli? au? Wanalelewa kituoni tangu wadogo? Au wanakuja ukubwani na kupimwa kama na mabikra?
Warahisi sana wewe wapromice utamuoa tuu...Wanapatikanaje hawa kondoo wa bwana?
Dah
Huna lolote ungekuwa unamwogopa Mungu wala huku usingekuja.Je umewahi kupendana Na sister?Mimi kuna sister mmoja ametokea kunipenda kinyama.tulikutana mazingira fulani ya kielimu tukapeana namba kwa mawasiliano ya kawaida.baada ya shughuli kumalizika kila MTU alienda kwao(mkoani).
toka Siku iyo huyu mtumishi wa mungu ananitumia SMS za mahaba daily.ananitumia picha WhatsApp pozi za hatari.mwezi wa sita anasema anakuja kunipa tunda.sasa naomba ushauri wenu maana namuogopa mungu.