Kwa aliewahi kumpenda sister

Kwa aliewahi kumpenda sister

Ungekua unamuogopa Mungu wala usingeliweka akilini, talk less of kutafuta ushauri.
Kwa mtu anaempenda Mungu angemblock huyo sister an kufuta namba yake.
Wewe hujui SMS Na picha zake zilivyo tamu,unaweza ukajutia kufuta namba,"running away from the problem is not the way of solving it."
 
Kwanza kuna uwezekano anakuzidi sana ki-umri. Kama ndio, je upo tayari kuoa huyo sister mara atakaposhtukiwa na mother superior na kuondolewa kwenye kundi?
Wengi wanaoacha usister hurukwa na akili..
 
Neema imekuangukia na usiwe na ndoto za kama ni bikra labda iwe neema kweli kweli wengi wao
Mapadri na Maaskofu wasio waaminifu uwatufua kinyama..
 
Kuna wengine wanao hadi watoto. Ila wengine bikra kweli kuhusu kupenda hukatazwi na unaruhusiwa hadi kumuoa maana hakuna andiko limesema watumishi wa mungu wasiolewe ila kama ni kumchezea tu Mungu akutie nguvu ya .........
 
Kuna wengine wanao hadi watoto. Ila wengine bikra kweli kuhusu kupenda hukatazwi na unaruhusiwa hadi kumuoa maana hakuna andiko limesema watumishi wa mungu wasiolewe ila kama ni kumchezea tu Mungu akutie nguvu ya .........[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]
 
Usifanye mapenzi na mtawa, utalaanika jamaa yangu, wewe muepuke tu.
 
Hivi hao wanakuwaga mabikra kweli? au? Wanalelewa kituoni tangu wadogo? Au wanakuja ukubwani na kupimwa kama na mabikra?
sio bikra, hata wanaume huwa sio bikra. john paul wa pili aliishi maisha ya kawaida hadi kuvuka miaka 18 ndio baadaye akaenda utawani. kwa ulaya, hakuna kijana anafika 18 bila kufanya ngono. masista nao ni wanadamu tu, kuishinda ngono kama hauna Mungu ni kazi sana, kibinadamu huwezi. wanafanya sana tu, na mapadri nao wana watoto wengi tu mtaani huku. ajabu ni kwamba, wakifumaniwa, anayefukuzwa huwa ni sista, mapadri hata uwafumanie huwa wanahamishwa kituo tu.
 
MM siwezi kushauri uache kumuogopa Mungu na kufanya unayoyawaza.Mshauri na huyo sister kujibidisha katika kazi na kushiriki michezo.Hamu zitapotea tu
 
Watu bhana..demu yupo mbali wanini sasa??

Miez sita yote hiyo mnawasiliana tuu ...kweli watu.mna muda aisee

Kama vipi mfwate ukapasue ufa wake au acha kumaliza vocha hizoo....

Yupo mkoa gan?? Kama yupo nilipo nipe namba yake fastaaa nimkae na.kutu kinyama since ijumaa.....
 
Je umewahi kupendana Na sister?Mimi kuna sister mmoja ametokea kunipenda kinyama.tulikutana mazingira fulani ya kielimu tukapeana namba kwa mawasiliano ya kawaida.baada ya shughuli kumalizika kila MTU alienda kwao(mkoani).

toka Siku iyo huyu mtumishi wa mungu ananitumia SMS za mahaba daily.ananitumia picha WhatsApp pozi za hatari.mwezi wa sita anasema anakuja kunipa tunda.sasa naomba ushauri wenu maana namuogopa mungu.
Huna lolote ungekuwa unamwogopa Mungu wala huku usingekuja.
 
Back
Top Bottom