Kwa aliyeelewa kipengele namba 5 kinachodokeza kuhusu kumaliza form 4 miaka 5 nyuma na form 6 miaka 5 nyuma, naomba anipe mwongozo

Kama ulihitimu kidato cha nne au sita kuanzia mwaka 2019 kushuka, basi hauna sifa ya kupata mkopo!

Ili uwe na sifa za kupata mkopo, sharti uwe umehitimu elimu ya kidato cha nne au sita kati ya miaka ya 2020 na 2024.
 
Sawa kaka nimekuelewa,je kwa mm ambae nilimalza form 4 2016 ila nkajiendeleza kwa kidato cha sita mwaka 2022 nikamalza na pia kwenye mkopo nimeambatanisha na cheti hicho cha form 6,je watanizangatia?
 
Sawa kaka nimekuelewa,je kwa mm ambae nilimalza form 4 2016 ila nkajiendeleza kwa kidato cha sita mwaka 2022 nikamalza na pia kwenye mkopo nimeambatanisha na cheti hicho cha form 6,je watanizangatia
Mwamba kaelekeza vizuri sana apo juu👆👆Anaye jiitaa mtoto wa Ajabu. Kama form Six Umemaliza 2022, Bado UPO kwenye Mfumo. ivyo ondoa hofu Mkopo utapata.
 
Vip
Kama ulihitimu kidato cha nne au sita kuanzia mwaka 2019 kushuka, basi hauna sifa ya kupata mkopo!

Ili uwe na sifa za kupata mkopo, sharti uwe umehitimu elimu ya kidato cha nne au sita kati ya miaka ya 2020 na 2024.
Kwa equivalent maana naona form 4 na 6 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…