Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Mkuu kuna dawa nilinunua Pharmacy hapa Arusha mjini kweli ilinisaidia sana kama una WhatsApp nikutumie hilo box ukanunue .hutojutia hii dawa .nikiweza ku uploading hapa nitaiweke ili wengine wafaidike pia mkuu.Wadau nahitaji mrejesho ili nione kama kuna uhakika wa kupona nikainunue maana nimetumia dawa nyingi bila kupona, nimetapeliwa sana bila mafanikio.
Msaada jamani.
Itakuwa vyema sana kama utaiweka pa kwa manufaa ya wengi mkuuMkuu kuna dawa nilinunua Pharmacy hapa Arusha mjini kweli ilinisaidia sana kama una WhatsApp nikutumie hilo box ukanunue .hutojutia hii dawa .nikiweza ku uploading hapa nitaiweke ili wengine wafaidike pia mkuu.
Wala sikushauri, mimi alinipiga laki mbili dawa yenyewe ikaishia kuniletea vipele tu. Kuna dawa wadau wametaja huku au kwa walioko dar nasikia kuna mtu yupo nadhani ni mbezi ana dawa nzuri.Aisee,gharama zake Sasa mi vidonda vya tumbo sijui alinambia Kati ya laki6 na laki8
Weka mkuuMkuu kuna dawa nilinunua Pharmacy hapa Arusha mjini kweli ilinisaidia sana kama una WhatsApp nikutumie hilo box ukanunue .hutojutia hii dawa .nikiweza ku uploading hapa nitaiweke ili wengine wafaidike pia mkuu.
Mkuu hao wadudu wamenikamata, na sasa niko kwenye dose ya Heligo kit for H. pylori.Mkuu jaribu hizo dawa kuzitumia kama zitaweza kukutibia vidonda vyako vya tumbo ukipona ndio tunacho hitaji. La hujapona nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia vidonda vyako vya tumbo kwa muda wa siku 60 utakuwa umepona maradhi yako.
Kwani Ukiwa na Wadudu aka Bacteria wa Helicobacter pylori kupona kwake ni kazi inachukuwa siku 60 kuweza kupona na kuwauwa hao wadudu aka Bacteria wa Helicobacter pylori.
Lakini kama huna hao wadudu wa Helicobacter pylori kwa dawa zangu ukitumia siku 21 umepona maradhi yako ya vidonda vya tumbo.
Umenikumbusha yule dada alikuwa anaitwa Rahabu pale buguruni,nilipigwa full dose ya lita 5 kwa hela ndefu halafu sikupona...Wadau nahitaji mrejesho ili nione kama kuna uhakika wa kupona nikainunue maana nimetumia dawa nyingi bila kupona, nimetapeliwa sana bila mafanikio.
Msaada jamani.
Bado hujaweza ku upload tu mpaka leo,be serious,watu wanaumwa na wanahitaji kupona kama wewe...Mkuu kuna dawa nilinunua Pharmacy hapa Arusha mjini kweli ilinisaidia sana kama una WhatsApp nikutumie hilo box ukanunue .hutojutia hii dawa .nikiweza ku uploading hapa nitaiweke ili wengine wafaidike pia mkuu.
Mswahili huyo hana cha maana, kashindwa hata kuigizia jina la dawa aandike hapa?Bado hujaweza ku upload to mpaka leo,be serious,watu wanaumwa na wanahitaji kupona kama wewe...
duuuu!!!niliwahi tumia ikanisadia kwa mda tu ka miez 3 hiv hal ikaludi tena!!ila ni chungu sana na nilipewa melekezo ninywe baada ya kula msos asubh na jion!,,Kidogo bei yake ni GHALI ila utakuja kushukuru siku moja
Nasubiri mrejesho zaidi,mimi pia nilitumia dozi moja ya siku 30 ila inaumiza sana mwili lakini sijapona piaduuuu!!!niliwahi tumia ikanisadia kwa mda tu ka miez 3 hiv hal ikaludi tena!!ila ni chungu sana na nilipewa melekezo ninywe baada ya kula msos asubh na jion!,,
Na kama kalogwa natumai una dawa ya ulozi pia....Mleta mada kama bado hujapona ni pm nakupa dawa ya asili usipopona wallah utakuwa umelogwa nimewasaidia wengi sana kupona vidonda vya tumbo
Swali fikirishi,ila mada bado inaendelea,dawa ya vidonda vya tumbo,yani ifike siku unaweka mezani harage la nazi unatafuna bila hofu...Hivi ukiongezwa damu ya mtu aliyechanjwa chanjo ya Covid wakati wewe hujachanja je, damu hiyo mpya haiwezi kuhamia kwenye damu yako na chanjo ile kwamba huna haja ya kuchanja tena?