Kwa aliyetumia dawa ya netragen (ya vidonda vya tumbo) ya herboworx corporation limited je umepona?

Mkuu hao wadudu wamenikamata, na sasa niko kwenye dose ya Heligo kit for H. pylori.
Daktari kaniambia nitumie kwa two consecutive weeks, naona zinanipa unafuu sana.

Nikimaliza dose ntatoa mrejesho
Kuna dawa imeniponya mkuu.
 
Mkuu umeongea na kushauri kitu cha msingi sana, watu wengi sana wanaanza kutafuta nakutumia madawa ovyo , kutokana na kuona dalili zinazofanana na ugonjwa wa vidonda vya tumbo bila kupima kipimo kikubwa, inashangaza sana, hata hosp mgonjwa anapoeleza shida zake madaktar hukimbilia kupima damu na choo asipokuta kitu anasema haumwi chochote, mgonjwa anarudi nyumbani akiwa na shida ileile, hali hiyo huwapelekea kuanza kutumia madawa ovyo bila matokeo chanya na kusingizia vidonda haviponi.
 
When MD speaks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…