Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
hawa watu wanafanya maigizo sana na mambo ya Mungu.Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.
View attachment 2993264
Mkwe nakusalimu kwa jina la Jamhuri🤣Kila la kheri
Kila binadamu ana karama yake. Mungu ameamua muda wa Irene kuwaokoa wanadamu ni sasa wewe ni nani hata upinge hilo?hawa watu wanafanya maigizo sana na mambo ya Mungu.
Shukrani karibu na wewe kiongozi.Kila la kheri
Amejitambua yeye ni nani mbele ya manyumbu, mchezomchezo utashangaa anajaza kanisa🤣🤣🤣Sasa manabii na wachungaji ni wengi kuliko kondoo.
Ulikua unashauri awekwe kwenye mizania ipi?Kama Mungu anawekwa kwenye mizania ya akili ya Binadamu basi uenda ndo mwisho wa dunia!
Kama huyu Mungu siku hizi anawaita malaya wawe wachungaji basi niko sahihi kukaa kando na haya mamboKufungua kanisa Uwoya sio kitu kibaya labda ni kweli Mungu amemuita
Lakini inabidi akubali kubadili matendo kuanzia maneno mpaka mavazi
Mchungaji ana vikuku mguuni waumini wataelewa neno wakati akili yote itakua inamuwaza
Amevaa koti hilo bra ya ndani naona Seriously? Mimi kama kondoo nitakua nawaza nanyonya kifua cha mchungaji
Abadilike..!
Wengi waongo. Wachache sana utawajua kwa kuwasikiliza matamshi yao Irene ni mmojawapo Mungu amuongoze vyema kumtumikia.Sasa manabii na wachungaji ni wengi kuliko kondoo.
Atazingatia ushauri japo binafsi sijaona ubaya kwenye mavazi yake tangu alipotangaza utume. Urembo ni sehemu ya mwanamke.Kufungua kanisa Uwoya sio kitu kibaya labda ni kweli Mungu amemuita
Lakini inabidi akubali kubadili matendo kuanzia maneno mpaka mavazi
Mchungaji ana vikuku mguuni waumini wataelewa neno wakati akili yote itakua inamuwaza
Amevaa koti hilo bra ya ndani naona Seriously? Mimi kama kondoo nitakua nawaza nanyonya kifua cha mchungaji
Abadilike..!
lakini hiyo inaonyesha namna watu watakavyopata hukumu siku ya mwisho,manake hadi kina huyo dada wametangaza injili,ambaye hajaisikia basi atakuwa na shingo ngumu. wawe wasafi wasiwe wasafi ila wametangaza walau. hakuna atakayekuwa na la kujitetea kwamba hakusikia wito wa wokovu.Kila binadamu ana karama yake. Mungu ameamua muda wa Irene kuwaokoa wanadamu ni sasa wewe ni nani hata upinge hilo?
Kuwa mstaarabu hajafunga watu kamba kuingia katika kanisa lake.Amejitambua yeye ni nani mbele ya manyumbu, mchezomchezo utashangaa anajaza kanisa🤣🤣🤣