Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Mimi katikati ya misa si nitakuwa nawaza zile picha zake zote nilizopigia puchu

1716326914873.png
 
Hilo sio kanisa. Sio kila mtu anayejiita mtumishi ni mtumishi.

Kama alivyoanza Masanja na hela zao za misaada...angalieni vizuri hii inaendaje. Maisha yetu kuna mambo tusipoyaogopa tutapata tabu sana. Tuache kucheza na Mambo ya Mwenyezi Mungu.
 
Dini ni usanii, ni jambo jema wasanii halisi wanapoamua kujikita kwenye upande huo wa sanaa. Haiingii akilini mtu anaombea viwete wanapona alafu yeye akipata tatizo kidogo kwenye goti anakimbilia aga khan hospital ama India kupata matibabu. Irene hakikisha unakamua hizo kondoo ki sawa sawa
 
Kwahiyo dogo janja ni mpasha kiporo wa mama mchungaji😂😂🤣 dini nyengine ni kitendawili inabidi ujitoe ufahamu ili uamini uvaa msalaba
 
Hilo sio kanisa. Sio kila mtu anayejiita mtumishi ni mtumishi.

Kama alivyoanza Masanja na hela zao za misaada...angalieni vizuri hii inaendaje. Maisha yetu kuna mambo tusipoyaogopa tutapata tabu sana. Tuache kucheza na Mambo ya Mwenyezi Mungu.
Wewe una mamlaka gani ya kutambua kanisa la ukweli na la uwongo?
 
Mungu akiamua kukutuma haangalii hayo mambo yenu ya kizungu ya apprenticeship.
Mungu aliamua kuwatumia motume 11 akawaweka kwenye apprentiship ya miaka 3.5

Naomba andiko linalosadifu hoja yako kwamba Mungu hufanya holela kwenye kuwatuma watu.

Hata shetani anamuandaa mtu ili amtumie. Wanaopotosha KWELI ya Mungu huwa wameandaliwa vyema kwa kazi hiyo. Angalia usiwe mmoja wao
 
Back
Top Bottom