Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Atapata vichaa wake maana dini ile wameambiwa kuoa mke zaidi ya mmoja ni haramu ila ndio ya jinsia moja ni sawa na wanakubali kuna mchungaji mmoja aliwachoma waumini wake moto mmoja kenya aliwaambia wafunge mpaka wakafa kweli hii ni dini ya haki.
 
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.

Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.

View attachment 2993264
Kmmk
 
Makahaba na watoza ushuru watakuwa wa kwanza kuingia mbinguni
Mathayo 21:23-49
 
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.

Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.

View attachment 2993264
Mchungaji under apprentiship ipi?
 
Hongera yake na kila la heri kwake kwenye kueneza injili ya kweli. Siku zote Bwana anawajua walio wake
 
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.

Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.

View attachment 2993264
Yesu wangu
 
Back
Top Bottom