Kwa aliyewahi kusikia kuhusu Bloody Mary

Kwa aliyewahi kusikia kuhusu Bloody Mary

Sasa kama unataka kuogopa zaidi angalia movie inayo itwa ROSEMARY'S BABY . ..
 
Kiwango cha juu cha uwoga . ...
 
Kuna mtu alishawahi leta uzi unaomhusu huyo Bloody Mary humu,lisemwalo lipo ila mrejesho kwa atakaye fanya hilo zoezi ni muhimu.
 
jamani bado hakuna aliyejaribu atupe mrejesho
 
aliye jalibu mrejesho basi mbona mmejikausha na results zenu
 
hili zoezi inabidi ufanyie kwenye nyumba ya kupanga ili likizingua uame tu sababu hawa viumbe si Wa sport sport wana weza kukufanya ata mzee ndani ya dakika chache
mshana Jr na lile kundi lako njoeni mtupe maujanja
 
Back
Top Bottom