Bei ikoje hapoMe nahama next week. Loc Kaloleni… karibu,,maana umeandika andika tu utadhani utaishi location zote.
Hao wapangaji wengi wakihama huachia ndugu zao au marafiki,Lakini wengine hufikia kuuzia wapangaji wapya(yaani amekodi lakini anauza kwa mapangaji mwingine)Jamn mm nataka NHC za dar
Hao wapangaji wengi wakihama huachia ndugu zao au marafiki,Lakini wengine hufikia kuuzia wapangaji wapya(yaani amekodi lakini anauza kwa mapangaji mwingine)
Soma post #8 ndio hali halisiZikoje mkuu emu elezea hapa kwa faida ya wengi
Yes Kodi ndogo kulingana na location ya nyumba zilipo,nyingi zipo mjiniNi kodi ndogo sana ama kuna unafuu gani kwenye hizo nyumba?
Laki 2Bei ikoje hapo
Mkuu popote iwe ilala, temeke , magomeni ilimradi ni nyumba ya NHCWeka location unayotaka maan hata tandika (Temeke) hizo Nyumba zipo japo zimechakaa ukihamia unafanya decorations ndani .
Maji na umeme plus usalama vipo 100%
Ukisema dar taja na location dar wapi
Mkuu unataka kuhama au una connection nazo naomba msaada pleaseWeka location unayotaka maan hata tandika (Temeke) hizo Nyumba zipo japo zimechakaa ukihamia unafanya decorations ndani .
Maji na umeme plus usalama vipo 100%
Ukisema dar taja na location dar wapi
Nyumba ni zao, Serikali imezitaifisha halafu ikawakodishia, kama ulikua hufahamu historia ya hizo nyumba.Hizo nyumba wanazijuaga tu Kabila moja kutoka Asia, wenginewe huwa wanaigizaga tu kukaa humo