Can't be easy as that. Mimi shangazi yangu alikua anakaa national house alipo staafu aliwaachia wanae. Xo haiwezi kua raisi kihivyo jo! Na alikua na asili ya asiaHabari wakuu ....
Mambo juu ya mambo 1 haikai mbili haikai ....
Kwa ambaye amejipata na alikuwa anaishi kwenye nyumba za national housing naomba unishitue ndugu yang nije nihamie
Maana nimeenda kwenye ofisin za NHC naambiwa nyumba zote Zina watu na watu awataki kuhama
Hvyo ww ambae umejipata na unataka kuhama naomba unishitue
Asanteni
wabongo wapi na historia wauluze ugali watakwambia ndo first world foodNyumba ni zao, Serikali imezitaifisha halafu ikawakodishia, kama ulikua hufahamu historia ya hizo nyumba.