Kwa ambae anataka kuhama kwenye nyumba za national housing naomba anishitue

Can't be easy as that. Mimi shangazi yangu alikua anakaa national house alipo staafu aliwaachia wanae. Xo haiwezi kua raisi kihivyo jo! Na alikua na asili ya asia
 
Uzuri pia wa hizi nyumba za nhc au hata nyumba za kazini ni kwamba mwenye nyumba huwa hana buguza na wewe
 
Hizo nyumba hata wenyewe NHC wanataka wapange lakini zimejaa na hazikuwai kua wazi Daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…