Kwa ambao tunakesha usiku huu wa Oct 10, 2020 tukutane hapa

Kwa ambao tunakesha usiku huu wa Oct 10, 2020 tukutane hapa

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
Kama utakesha usiku huu wa leo tuambie unakeshea wapi usiku huu, tukianza na mimi usiku huu wa saa 4:18 nipo chimbo linaitwa tughimbe night club kama kuna mtu hili jina sio geni kwake anyooshe kidole, huyo bila shaka atakuwa ni jirani yangu huku nilipo.
20201010_220034.jpg
 
Back
Top Bottom