EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Kama utakesha usiku huu wa leo tuambie unakeshea wapi usiku huu, tukianza na mimi usiku huu wa saa 4:18 nipo chimbo linaitwa tughimbe night club kama kuna mtu hili jina sio geni kwake anyooshe kidole, huyo bila shaka atakuwa ni jirani yangu huku nilipo.