Kwa ambao wanaomba vyuo vya afya

Kwa ambao wanaomba vyuo vya afya

massoudamour

Member
Joined
Aug 13, 2014
Posts
17
Reaction score
1
Naomba kuuliza , hivi ukimaliza diploma in clinical medicine unaajiriwa kama nani, au unachukua nafasi ipi hospitali
 
Asistant Clinical Ofica

mkuu na mtu aliyesoma certificate in nursing anawezakujiendeleza na kuchukua diproma ya chrinical officer?na kama ni ndio je, ataendelea kucare wagonjwa kama nurse wa kawaida.

Shukurani mkuu
 
mkuu na mtu aliyesoma certificate in nursing anawezakujiendeleza na kuchukua diproma ya chrinical officer?na kama ni ndio je,ataendelea kucare wagonjwa kama nurse wa kawaida.shukurani mkuu

chrinical officer nayo ni professionalism?
 
mkuu na mtu aliyesoma certificate in nursing anawezakujiendeleza na kuchukua diproma ya chrinical officer?na kama ni ndio je,ataendelea kucare wagonjwa kama nurse wa kawaida.shukurani mkuu

nurse hawez kujiendeleza kwa chet cha profession yake(nurse) mpaka asafishe chet cha form four kama kilikuwa sio poa kwa kupata C masomo yote ya sayansi other wise ataishia hapohapo mpaka kiama.
 
mkuu na mtu aliyesoma certificate in nursing anawezakujiendeleza na kuchukua diproma ya chrinical officer?na kama ni ndio je,ataendelea kucare wagonjwa kama nurse wa kawaida.shukurani mkuu

hapana kama umexoma nursing bax ni nursing 2
 
ina maana wote wanaosoma nursing walichafua form four
 
mkuu masuonline, kwani wote wanaosema/ waliosoma nursing walifeli form four

hapana ndugu, inatokea tu mtu anaamua kutuma cert ya nursing wakati anasifa zote za kutuma ngazi ya diproma kwa sababu ya kuogopa ushindani uliopo kwenye vyuoa vya serikari.
 
nurse hawez kujiendeleza kwa chet cha profession yake(nurse) mpaka asafishe chet cha form four kama kilikuwa sio poa kwa kupata C masomo yote ya sayansi other wise ataishia hapohapo mpaka kiama.

yani sifa anazo kabsa,but aliogopa kutuma diproma kwa sababu ya ushindani wa vyuo vya goverment.je akitaka ajiendeleze anaweza kuruhusiwa maana tayari anasifa nyingine ya ziada kuwa yeye ana certificate ya nursing.
 
Back
Top Bottom