Kwa anachokifanya Israel dihidi ya maadui zake ni dhahiri kuwa yeye ndo bingwa wa 'Intelligence' duniani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Wangapi tunakubaliana sasa kuwa kwa anachokifanya Israel hasa Kimashambulizi dhidi ya Maadui zake wao ndiyo Mabingwa wa 'Intelligence' duniani?

Na wanachonifurahisha zaidi ni kwamba Mashambulizi yao yote yana Target halafu huwa wanayapangilia Kiuhodari kabisa baada ya Kujihakikisha pasi na shaka na Taarifa za Kiitelinjensia (Kijasusi) kutoka kwa Majasusi wao Hatari na Wabobezi kama wa pale Msaada Kontena mkabala na Ubalozi wa Ufaransa katika nchi ya Malawi ya Kaskazini.
 
Na wwaanachonifurahisha zaidi ni kwamba Mashambulizi yao yote yana Target halafu huwa wanayapangilia Kiuhodari kabisa baada ya Kujihakikisha pasi na shaka na Taarifa za Kiitelinjensia (Kijasusi) kutoka kwa Majasusi wao Hatari na Wabobezi kama wa pale Msaada Kontena mkabala na Ubalozi wa Ufaransa katika nchi ya Malawi ya Kaskazini.
Walokole hamnaga akili!
 
Yaani Mossad na CIA waunganishe akili washindwe kupukutusha magaidi na wafadhili wa ugaidi hapo Iran
Huwa nacheka mno mtu akijipa faraja fake ati Iran atapambana na Israel and USA
 
Wangapi tunakubaliana sasa kuwa kwa anachokifanya Israel hasa Kimashambulizi dhidi ya Maadui zake wao ndiyo Mabingwa wa 'Intelligence' duniani?

Na wanachonifurahisha zaidi ni kwamba Mashambulizi yao yote yana Target halafu huwa wanayapangilia Kiuhodari kabisa baada ya Kujihakikisha pasi na shaka na Taarifa za Kiitelinjensia (Kijasusi) kutoka kwa Majasusi wao Hatari na Wabobezi kama wa pale Msaada Kontena mkabala na Ubalozi wa Ufaransa katika nchi ya Malawi ya Kaskazini.
Leo Naona kichwa chako kimepoa tangu nikujue humu JF Leo ndio umeandika Jambo Kwa kutumia akili.
 
Wangapi tunakubaliana sasa kuwa kwa anachokifanya Israel hasa Kimashambulizi dhidi ya Maadui zake wao ndiyo Mabingwa wa 'Intelligence' duniani?

Na wanachonifurahisha zaidi ni kwamba Mashambulizi yao yote yana Target halafu huwa wanayapangilia Kiuhodari kabisa baada ya Kujihakikisha pasi na shaka na Taarifa za Kiitelinjensia (Kijasusi) kutoka kwa Majasusi wao Hatari na Wabobezi kama wa pale Msaada Kontena mkabala na Ubalozi wa Ufaransa katika nchi ya Malawi ya Kaskazini.
Mtu yuko chooni anakata Gogo anasikia chuma hiki
Kimepigwa chali,aise jamaa ni hatari
Target hawakosei

Ova
 
Back
Top Bottom