Kwa anaejua

Kwa anaejua

Wazo lako ni zuri sana. Cha msingi nakushauri uwe founder wa hiyo kitu. Trust Me huwezi kukosa clients na mwisho wa siku jina lako litakuwa juu sana kijamii na kiuchumi kwa kuweza kuwasaidia watu wengi tu.
 
Tatizo mtaji mkuu sababu itabidi nitafute kaofisi, na tiharahei wakijua watataka kodi. Ila nimegundua ni biashara nzuri sana.
 
Wazo lako ni zuri sana. Cha msingi nakushauri uwe founder wa hiyo kitu. Trust Me huwezi kukosa clients na mwisho wa siku jina lako litakuwa juu sana kijamii na kiuchumi kwa kuweza kuwasaidia watu wengi tu.
Nawajua watu wengi tu watakaofaidika na hii.
 
Hivi kwanini Tanzania hakuna kampuni zinazodeal na mambo ya relationship. Kwa mfano mimi niko single na sijioni kumpata mtu sasa naenda kwao waniunganishe na wanaume waliopo single kwenye data base ya kampuni. Au blind dates mbona hatufanyi sisi.
Siongelei kuunganisha watu na madanga hiyo ni kawaida naongelea ile relationship serious kabisa ambayo inaweza kuzaa ndoa.
una akili sana.Jicho la 3
 
Back
Top Bottom