Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakucheck mkuuMimi ninayo account ya playstore nauza kwa 100k nimechek inbox nikuuzie
Wengine tunajiheshimu mkuu. Punguza negativityAnatafutwa mtu apigwe na si account inataftwa
Huku kurefu sana mkuu kama unaweza shuka tuyajenge #0755422199Mimi nanayo nauza 2.7m cash
Pamoja mkuu tupo tu na uharaka ndo maanaVigezo jamaa walivyoweka sasa viko tight sana kupata account ya playstore..japo ukifuata taratibu ni swala linalowezekana kabisa.
Binafsi nilipitia huo mchakato wao, verification ya address. Wakahitaji testers karibu 20 watakao test app kwa siku 24. Tutawatafuta wadau. Tukawaundia na group la whatsapp kuwahamasisha.
After 14 days za testing, wakatuachia tukawa hewani. Just follow the procedures mkuu. Lengo la kuweka mashart magumu ni kuwatetea walaji dhidi ya apps zinazowaumiza. Kama app yako imenyooka huna haja ya kunua account. Just create one.
Mkuuu hupatikani tena nicheck hapa #0755422199Mimi ninayo account ya playstore nauza kwa 100k nimechek inbox nikuuzie
Naona umeamua kuuvuruga kabisa huu uziAnatafutwa mtu apigwe na si account inataftwa
Una sh ngapi, sema ofa yakoWakuu bado natafuta mwenye anauza account
Yangu niliuza kwa milioni 2Mimi ninayo account ya playstore nauza kwa 100k nimechek inbox nikuuzie