Kwa anaeuza Akaunti ya playstore

Kwa anaeuza Akaunti ya playstore

Vigezo jamaa walivyoweka sasa viko tight sana kupata account ya playstore..japo ukifuata taratibu ni swala linalowezekana kabisa.

Binafsi nilipitia huo mchakato wao, verification ya address. Wakahitaji testers karibu 20 watakao test app kwa siku 24. Tutawatafuta wadau. Tukawaundia na group la whatsapp kuwahamasisha.

After 14 days za testing, wakatuachia tukawa hewani. Just follow the procedures mkuu. Lengo la kuweka mashart magumu ni kuwatetea walaji dhidi ya apps zinazowaumiza. Kama app yako imenyooka huna haja ya kunua account. Just create one.
 
Pamoja mkuu tupo tu na uharaka ndo maana
 
Wakuu bado natafuta mwenye anauza account
 
0755422199 nicheck Dm mkuu tuongee biashara
 
Back
Top Bottom