Kwa anavyogharamiwa private jet kama hivi atawaelewa kweli?!

Kwa anavyogharamiwa private jet kama hivi atawaelewa kweli?!

Presidential jet

View attachment 2654999
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ameondoka nchini leo kuelekea Marrakesh, Morocco. Dkt. Tulia anatarajiwa kushiriki Mkutano wa Kibunge wa Majadiliano kuhusu Dini mbalimbali utakaofanyika nchini humo Juni 13 - 15, 2023.
Baada ya kazi nzito anakwenda kupumzika kidogo. Mikutano ya kidini na spika wa bunge wapi na wapi!?
 
Nini cha ajabu hapo Spika kupanda ndege ya Rais/serikali? Mnapenda makasiriko ya reja reja.
 
Nini cha ajabu hapo Spika kupanda ndege ya Rais/serikali? Mnapenda makasiriko ya reja reja.
Gharama kubwa zingeepukwa kwa kutumia usafiri wa kawaida, haya majitu hayatuonei huruma walipakodi
 
Hawa ndio wahaini wenyewe siku moja watakuwa raia wa kawaida ,hawatakuwa na chawa ,nguvu ,mamlaka na madaraka.
 
Gharama kubwa zingeepukwa kwa kutumia usafiri wa kawaida, haya majitu hayatuonei huruma walipakodi

Gharama gani kubwa. Kwenda Morocco kutokea bongo kwa commercial plane lazima upite Europe/Dubai/Doha wakati hii anaenda straight. Akipanda business class na timu yake plus malazi lazima waongeze siku za safari wangetumia gharama zaidi ya kusafiri private. Acheni makasiriko ya reja reja mtakufa mapema.
 
Back
Top Bottom