Kwa anavyogharamiwa private jet kama hivi atawaelewa kweli?!

Kwa anavyogharamiwa private jet kama hivi atawaelewa kweli?!

Huyu mama sasa humwambii kitu kuhusu kulamba asali. Ila atakuja kujuta tu, havina mwenyewe hivi.
 
Inabidi tupate Jerry Ralwings wetu- Wanajeshi amkeni- muje muwakomboe watanzania , au na nyie bado mko kwenye asali?

Hao watanzania wenyewe wako tayari kukombolewa au bado ni ma keyboard warriors?
 
Hii nguo aliyovaa jamani khaa...hivi huwa hawana washauri wa kuvaa nguo husika katika occasion husika???
Na amevaa makusudi akijua mtahama kwenye mjadala wa bandari muanze kujadili Dera😀😀
 
Inabidi tupate Jerry Ralwings wetu- Wanajeshi amkeni- muje muwakomboe watanzania , au na nyie bado mko kwenye asali?
Mpaka watanzania wenyewe waanzishe movements za kuhitaji msaada wa wajeda, mwanajeshi anaamkaje kupigania watu ambao hawaonekani? Wanaonekana wachache mitandaoni
 
Hilo dera lina ujumbe unasomeka "MTAJIJU"
 
Pelekeni ufuta ghalani huko mkauze, acheni mambo ya kishamba ya kuchafua watu.
 
Gharama gani kubwa. Kwenda Morocco kutokea bongo kwa commercial plane lazima upite Europe/Dubai/Doha wakati hii anaenda straight. Akipanda business class na timu yake plus malazi lazima waongeze siku za safari wangetumia gharama zaidi ya kusafiri private. Acheni makasiriko ya reja reja mtakufa mapema.
Chawai katika ubora wako katika uchafu
 
Na amevaa makusudi akijua mtahama kwenye mjadala wa bandari muanze kujadili Dera[emoji3][emoji3]
Hapana hajafanya makusudi, huyu mama ndio mapigo yake kila siku. Yaani hajui kuvaa kutokana na status yake kabisa ila hii ya dera la kanga safarini kazidi mweeh
 
Back
Top Bottom