Kwa anavyogharamiwa private jet kama hivi atawaelewa kweli?!

Baada ya kazi nzito anakwenda kupumzika kidogo. Mikutano ya kidini na spika wa bunge wapi na wapi!?
 
Nini cha ajabu hapo Spika kupanda ndege ya Rais/serikali? Mnapenda makasiriko ya reja reja.
 
Nini cha ajabu hapo Spika kupanda ndege ya Rais/serikali? Mnapenda makasiriko ya reja reja.
Gharama kubwa zingeepukwa kwa kutumia usafiri wa kawaida, haya majitu hayatuonei huruma walipakodi
 
Hawa ndio wahaini wenyewe siku moja watakuwa raia wa kawaida ,hawatakuwa na chawa ,nguvu ,mamlaka na madaraka.
 
Gharama kubwa zingeepukwa kwa kutumia usafiri wa kawaida, haya majitu hayatuonei huruma walipakodi

Gharama gani kubwa. Kwenda Morocco kutokea bongo kwa commercial plane lazima upite Europe/Dubai/Doha wakati hii anaenda straight. Akipanda business class na timu yake plus malazi lazima waongeze siku za safari wangetumia gharama zaidi ya kusafiri private. Acheni makasiriko ya reja reja mtakufa mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…