Kwa anavyoonekana Paul Kagame ni mgonjwa?

Kwa anavyoonekana Paul Kagame ni mgonjwa?

Bana Lunda .....
Conceille potchio.
20230316_003828.jpg
 
....hapana!

Mosi, ile tembea alivyoshuka kwenye gari si ile tembea yake iliyozoeleka.

Pili, siku zote PK ashukapo kwenye gari huwa mchangamfu na wakati mwingine hutembea kwa mdano fulani hivi wa kisera!

Tatu, huwa ni nadra sana kuendeshwa anapohudhuria eneo lenye uchache wa watu.
Angalia video vizuri
Kuna mvua inanyesha.Hapo mwendo wake anatembea wa kunyata ni kama anaruka vidimbwi vidogo vidogo vya maji ya mvua vilivyoko chini sehemu.tofauti tofauti ili asikanyage maji ndio.maana mwendo umebadilika
 
Back
Top Bottom