Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Watu wengi wanaosafiri nchi za nje huwa wanashauri kutumia e sim unapokuwa a broad inarahisisha mawasiliano , mimi sifahamu lolote namna ya ku install na kuitumia , na je inafaida kweli ?
Not that complicated, watatokea wanaojua watatoa tipsEh eh hayo ni mambo ya kitaalam sana mwanangu, kwanza inabidi ulale kwenye kitanda chenye chandarua kilichowekwa dawa ili kujikinga na malaria ili uweze kutimiza ndoto zako 😎
Hiyo ni huduma ya kutumia namba ya simu bila kuweka line kwenye simuWatu wengi wanaosafiri nchi za nje huwa wanashauri kutumia e sim unapokuwa a broad inarahisisha mawasiliano , mimi sifahamu lolote namna ya ku install na kuitumia , na je inafaida kweli ?
Hili ndio jibu?Hiyo ni huduma ya kutumia namba ya simu bila kuweka line kwenye simu
Cha msingi simu yako iwe inasupport mfumo huo
Ok , kumbe kuna simu haziwezi ku function , lakini ninavyoona Smart phone yeyote inaweza kukubaliHiyo ni huduma ya kutumia namba ya simu bila kuweka line kwenye simu
Cha msingi simu yako iwe inasupport mfumo huo
Mfano hii SAMSUNG S25 ULTRA yangu hapa ina-support ila sija-install tuHiyo ni huduma ya kutumia namba ya simu bila kuweka line kwenye simu
Cha msingi simu yako iwe inasupport mfumo huo
Sijajua uki install ukiwa nje unapopiga simu usajili wa namba unapewa mpya au unatumia namba yako ile ile ya nyumbani ( nchi yako )Mfano hii SAMSUNG S25 ULTRA yangu hapa ina-support ila sija-install tu
Asnt brz umenipa darasa , ufafanuzi mzuriEsim ni sim inayojengwa au inayowekwa moja kwa moja kwenye simu, tofaut na ile physical sim card tulizozizoea, kupachikwa/ au kuwekwa kwa hii simu inahitaji vitu vikibwa viwili
1) uwe na simu/smartphone ambayo inasupport Esim
2) uwe na QR code ambayo sasa iyo ndio namba yako ya simu, iyo QR code utahitajika uscan kwenye simu yako ili sasa iyo namba iwe hewani
kwa nchi yetu ukienda kwenye ofisi za mitandao ya simu wao wanahizo QR code ambayo wataiscan na kuiweka namba hewan.
Lakin kwa wasafiri kama ulivyotaja, huwa kuna namba za simu in form of QR code ambazo wanazinunua kwenye baadhi ya websites, unaweza kununua kulingana na nchi unayokwenda, unasacn kwenye simu yako, ukifika kwa iyo nchi ndio unapatikana kwa namba iyo sasa, ukimalizana nayo matumizi unaweza kuifita pia, ila hizi za kununua huwa ziko gharama kidogo.kuna website kama www.airalo.com unazipata hizo za kununua, kiufupi ni teknolojia nzur sana
Umetisha nilikuwa nataka nimpe haya majibu ila umemaliza.Esim ni sim inayojengwa au inayowekwa moja kwa moja kwenye simu, tofaut na ile physical sim card tulizozizoea, kupachikwa/ au kuwekwa kwa hii simu inahitaji vitu vikibwa viwili
1) uwe na simu/smartphone ambayo inasupport Esim
2) uwe na QR code ambayo sasa iyo ndio namba yako ya simu, iyo QR code utahitajika uscan kwenye simu yako ili sasa iyo namba iwe hewani
kwa nchi yetu ukienda kwenye ofisi za mitandao ya simu wao wanahizo QR code ambayo wataiscan na kuiweka namba hewan.
Lakin kwa wasafiri kama ulivyotaja, huwa kuna namba za simu in form of QR code ambazo wanazinunua kwenye baadhi ya websites, unaweza kununua kulingana na nchi unayokwenda, unasacn kwenye simu yako, ukifika kwa iyo nchi ndio unapatikana kwa namba iyo sasa, ukimalizana nayo matumizi unaweza kuifita pia, ila hizi za kununua huwa ziko gharama kidogo.kuna website kama www.airalo.com unazipata hizo za kununua, kiufupi ni teknolojia nzur sana
Sim Card ni kama Memory card.Unaweza ifuta au kuongeza kitu...Simu yenye E Sim ni Simu inayokuja na Sim card isiyokuwa na Kitu(aina data ya aina yeyote) E Sim ikiwa sehem ya simu...Hivyo unapoenda Voda au Tigo au Airtel wanauwezo wa kujaza taharifa zako na kukupa namba ya simu mpya kwa kutumia ESim iliyopo ndani ya handset yako.Zamani wakati Makampuni ya Simu yanaanza mfano Tigo (ikiitwa Mobitel) na ata Zantel handset zao azikuwa na line,Ilikuwa unaenda wanakuwekea wao wenyewe ofisini.Watu wengi wanaosafiri nchi za nje huwa wanashauri kutumia e sim unapokuwa a broad inarahisisha mawasiliano , mimi sifahamu lolote namna ya ku install na kuitumia , na je inafaida kweli ?
sio kweliOk , kumbe kuna simu haziwezi ku function , lakini ninavyoona Smart phone yeyote inaweza kukubali
Noted kk , thanksSim Card ni kama Memory card.Unaweza ifuta au kuongeza kitu...Simu yenye E Sim ni Simu inayokuja na Sim card isiyokuwa na Kitu(aina data ya aina yeyote) E Sim ikiwa sehem ya simu...Hivyo unapoenda Voda au Tigo au Airtel wanauwezo wa kujaza taharifa zako na kukupa namba ya simu mpya kwa kutumia ESim iliyopo ndani ya handset yako.Zamani wakati Makampuni ya Simu yanaanza mfano Tigo (ikiitwa Mobitel) na ata Zantel handset zao azikuwa na line,Ilikuwa unaenda wanakuwekea wao wenyewe ofisini.
Simu za kuchomeka sim card zimeshapitwa na wakati, ni mambo ya stone age hayo.Watu wengi wanaosafiri nchi za nje huwa wanashauri kutumia e sim unapokuwa a broad inarahisisha mawasiliano , mimi sifahamu lolote namna ya ku install na kuitumia , na je inafaida kweli ?
Yeah sure , na pia e sim faida yake ukienda nchi za ugenini unapata mawasiliano kwa urahisi bila kupata usumbufu wa kufanya usajili wa lineSimu za kuchomeka sim card zimeshapitwa na wakati, ni mambo ya stone age hayo.
Mfano Iphone 16 pro maxYeah sure , na pia e sim faida yake ukienda nchi za ugenini unapata mawasiliano kwa urahisi bila kupata usumbufu wa kufanya usajili wa line