Kwa anayefahamu sifa za kujiunga na kidato cha tano mwaka huu

Kwa anayefahamu sifa za kujiunga na kidato cha tano mwaka huu

Benny marando

Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15
Reaction score
1
msaada wana jf nina mdogo wangu amemaliza 4m4 mwaka jana kapata div3 point 31 je anaweza kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa shule za serikali?
 
Atachaguliwa endapo kwenye combination yake atakuwa na ufaulu usiochini ya DDD. Je, yeye ana nini?
 
watakuopata DDD ndani ya dv3 ya point31 watakuwa wamequalify kwenda kidato cha5 ndani ya shule za serikali.
 
msaada wana jf nina mdogo wangu amemaliza 4m4 mwaka jana kapata div3 point 31 je anaweza kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa shule za serikali?

criteria ya kujiunga na kidato cha tano mwaka huu ni mwanafunzi awe na div 1-3 na awe na credits kuanzia 3 na asiwe na E kwenye combination.
 
Kumbe kwa sasa D ni credit..! kweli FAT RESULTS NOW'
 
Hii nchi miaka 5 ijayo watu wengi hawatakuwa na kazi sababu ya uelewa mdogo wa kufanya mambo, majirani zetu watajaa sana kuja kifanya kazi Tanzania
 
Nami nina div.4 point 32 na combination ni HISTOR D,KISWAHILI B,ENGLISH C.Je nitachaguliwa advance kwa private school?
 
Nami nina div.4 point 32 na combination ni HISTOR D,KISWAHILI B,ENGLISH C.Je nitachaguliwa advance kwa private school?

Unatakiwa uwe na pass 5 ndo uqualify so kama kuna masomo umepata DD out of hayo matatu hapo juu utaqualify kama hayo yaliyo baki yote una E au F. I doubt
 
Dahh ila TZ bana sikuiz D ni Credit tena kwa marks zile F inaanzia 19 dah
 
Achen kuongopeana ,lazima uwe na B moja katika combination yako ndo uende form five na usipate D,E,wala. F katika comb
 
Back
Top Bottom