Kwa anayehitaji kijana wa kusimamia nyumba yake au mradi kijana muaminifu yupo.

Kwa anayehitaji kijana wa kusimamia nyumba yake au mradi kijana muaminifu yupo.

Heshima kwa wakuu.
Kuna kijana mwenzangu miaka 32.
Ni muha kwa kabila.
Anatafuta kazi kama mtu ana nyumba yake anataka mtu wa kusimamia na mambo kama hayo au kama mtu ana biashara yake porini anataka mtu wa kusimamia. Anajua kuendesha pikipiki, ni mrefu sana na mchapakazi. Ana shida sana ya kazi. Narudia tena hana matamaa, havuti sigara wala kunywa pombe. Dini ni mkristo mkatoliki.
Yupo dar. Ni kijana muaminifu sana hana matatizo na muelewa.
Ulivyomuelezea utafikiri Muha wa chanika
 
Back
Top Bottom