JONATHAN KAMWAVAH'S
Senior Member
- Oct 9, 2012
- 184
- 24
mkuranga ni moja kati ya wilaya zinazounda mkoa wa pwani,ipo karibu sana na jiji la dar es salaam,mkuranga ni wilaya yenye mazingira mazuri ya kuishi,uwoto wa asili,kijani kibichi mwaka mzima,miti mikubwa,matunda mengi ya aina mbalimbali,karibu sana mkuranga.
Nahitaji shamba ekari mbili sehemu yenye umeme nipe bei na taja eneo maana mimi pia mkuranga naifaham uzuri tu
maeneo ya kiguza,dundani,mwanambaya unapata kwa shilingi milioni tatu kwa heka moja umeme karibu sana.
Viwanja vya 30X30 na mashamba kwa kila Hekari wanauzaje?
Km ngapi kutoka barabara ya lami hasa hapo mwanambaya
ndugu mimi si tapeli na ninaogopa sana kwani mshahara wa dhambi ni mauti.karibu mkuranga.Ametoa tangazo lake hapa halafu hayyupo sasa tumuulize nani tunaohitaji hayo mashamba
kama sio matapeli wa dizaini hii hawa tuwe macho jamani
dalali huyu? au
ndugu mimi si tapeli na ninaogopa sana kwani mshahara wa dhambi ni mauti.karibu mkuranga.
Oky bora umerudi tumekuona tena nitakuja huko mkuranga nione hayo mashamba na kiwanja pia sijui unaanzia heka ngapi na sh ngapi kwa hekali moja?
Nataka ekari mbili nipe bei na namba za mawasiliano
shamba karibu na barabara milioni mbili na nusu,mbali kidogo milioni moja na nusu shamba poli laki saba,0719450426 karibu
1. Una maanisha nini unaposema karibu na barabara? Je ni kwamba lipo barabarani kabisa baada ya road reserve Au lipo mita chache kutoka mashamba ambayo yapo pembeni ya barabara?
2. Naomba kukuuliza,mpaka wa Mkuranga na kigamboni upo wapi? Mimi sio mwenyeji sana huko ila ningependa kufahamu hili
3. Ekari moja karibu na bahari huko kisiju inauzwa sh ngapi?