Plot4Sale Kwa anayehitaji mashamba viwanja maeneo ya Mkuranga

JONATHAN KAMWAVAH'S

Senior Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
184
Reaction score
24
Karibu Mkuranga kwa mahitaji ya kiwanja mashamba tena kwa bei nafuu sana,kwa mahitaji ya kujenga sheli za mafuta (petrol station), shule, nyumba za wageni na hotel, wasiliana nami kwa simu no 0719450426 au email: jonathankamwavahs@gmail.com au tembelea facebook jonathan lucas kamwavahs.
 
mkuranga ni moja kati ya wilaya zinazounda mkoa wa pwani,ipo karibu sana na jiji la dar es salaam,mkuranga ni wilaya yenye mazingira mazuri ya kuishi,uwoto wa asili,kijani kibichi mwaka mzima,miti mikubwa,matunda mengi ya aina mbalimbali,karibu sana mkuranga.
 
Nahitaji shamba ekari mbili sehemu yenye umeme nipe bei na taja eneo maana mimi pia mkuranga naifaham uzuri tu
 
hello ndugu.
mashamba/viwanja vipo maeneo gani na umbali gani kutoka mkuranga mjini hapo? je bei zake zikoje? plz
 
Viwanja vya 30X30 na mashamba kwa kila Hekari wanauzaje?
 
Ametoa tangazo lake hapa halafu hayyupo sasa tumuulize nani tunaohitaji hayo mashamba
kama sio matapeli wa dizaini hii hawa tuwe macho jamani
 
Nahitaji shamba ekari mbili sehemu yenye umeme nipe bei na taja eneo maana mimi pia mkuranga naifaham uzuri tu

maeneo ya kiguza,dundani,mwanambaya unapata kwa shilingi milioni tatu kwa heka moja umeme karibu sana.
 
Ametoa tangazo lake hapa halafu hayyupo sasa tumuulize nani tunaohitaji hayo mashamba
kama sio matapeli wa dizaini hii hawa tuwe macho jamani
ndugu mimi si tapeli na ninaogopa sana kwani mshahara wa dhambi ni mauti.karibu mkuranga.
 
ni wilaya yenye tarafa nne(4)kata kumi na nane(18)vijiji mia moja ishirini na moja(121)na vitongoji mia nne sitini na mbili(462) imepakana na bahari kataka tarafa ya kisiju,karibu sana mkuranga.
 
Nataka ekari mbili nipe bei na namba za mawasiliano
 
Oky bora umerudi tumekuona tena nitakuja huko mkuranga nione hayo mashamba na kiwanja pia sijui unaanzia heka ngapi na sh ngapi kwa hekali moja?
ndugu mimi si tapeli na ninaogopa sana kwani mshahara wa dhambi ni mauti.karibu mkuranga.
 
Oky bora umerudi tumekuona tena nitakuja huko mkuranga nione hayo mashamba na kiwanja pia sijui unaanzia heka ngapi na sh ngapi kwa hekali moja?

wingi wa heka ni matakwa ya mteja na kuuhu bei ni kutokana na ubora wa eneo pamoja na mazingira yake ila ni nafuu sana,karibu sana mkuranga ukifika njoo moja kwa moja ofisini kwetu,iliyopo karibu kabisa na ofisi za chadema maeneo ya NMB bank au chukuwa namba hapo juu,karibu ndugu.
 
shamba karibu na barabara milioni mbili na nusu,mbali kidogo milioni moja na nusu shamba poli laki saba,0719450426 karibu

1. Una maanisha nini unaposema karibu na barabara? Je ni kwamba lipo barabarani kabisa baada ya road reserve Au lipo mita chache kutoka mashamba ambayo yapo pembeni ya barabara?

2. Naomba kukuuliza,mpaka wa Mkuranga na kigamboni upo wapi? Mimi sio mwenyeji sana huko ila ningependa kufahamu hili

3. Ekari moja karibu na bahari huko kisiju inauzwa sh ngapi?
 
1.lipo mita chache baada ya vipimo vya barabara
2.mpaka upo kimbiji
3.milioni miambili themanini karibu na bahari
 
Back
Top Bottom