Atlantis Voyager
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 371
- 502
Kuna nyumba ya hayati mmoja nilifika nikakuta kaweka Marble floor tiles za kijani zimependeza sana huko mkoa wa Geita nilipojaribu kuuliza mhusika akaniambia zimenunuliwa mbeya kuna mgodi wa marble nzuri sana. Yoyote anayejua hiz marble za mbeya aje PM.