Kwa anayejua Marble floor tiles zinazotoka Mbeya?

Kwa anayejua Marble floor tiles zinazotoka Mbeya?

Atlantis Voyager

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2018
Posts
371
Reaction score
502
Kuna nyumba ya hayati mmoja nilifika nikakuta kaweka Marble floor tiles za kijani zimependeza sana huko mkoa wa Geita nilipojaribu kuuliza mhusika akaniambia zimenunuliwa mbeya kuna mgodi wa marble nzuri sana. Yoyote anayejua hiz marble za mbeya aje PM.
 
Upo Songwe Viwandani japo ni gharama sana zile marble lakini ni bora zaidi, wanafanya production na naona nyingi hupelekwa pia Afrika Kusini
 
Kwa anayejuana na kiwanda chenyewe contact zao aturahisishie kutupatia hapa. Je kinaitwaje ili tu google contacts.
 
Back
Top Bottom