Hajajua Mana ya technician Ina maana Pana Sana. Sema yeye anawajua kuwa technician mpaka uwe na diploma.
Kwa Mana nyingine inatokana na neno technical Sasa technical personel ni mtu wa Aina gani.labda tuanzie hapo ndo tudadavue Mana ya technical personal ama technician.
Zile maabara za chuoni mfano za watu wa electrical,civil, mechanical n.k huwa Zina laboratory technician Ila vigezo vyako ni bachelor na sio diploma Kama jamaa anavyojinasibu hapo juu.
Ama atafute tangazo ambalo mfano udsm walihitaji technical person na kigezo kikawa ni diploma.
Mtu ukiwa na bachelor degree ya engineering wewe huitwi Technician bali utaitwa engineer, bali wewe engineer specifically unatakiwa ujue technical issues zinazohusiana na field yako,engineer anakuwa zaidi ya Technician sikusudii kwamba engineer anajua kila kitu la hasha..
Ila ki grade kila kitu kimegaiwa mahala pake.
Mwenye diploma anakuwa technician,ni msaidizi wa engineer kama kumsaidia kufanya baadhi ya practical let's say civil technician yeye atafanya kazi za ku collect data na kuzi manipulate.
Engineer yeye atazi calculate pamoja na kufanya design hizo data alizozipata kutoka kwa technician.
Sasa mleta mada yeye defanetly kakusudia juu ya mgawanyo wa mshahara kwa kuzingatia viwango vya elimu.
Sasa mie nikamwambia huwezi ukaitwa technician kwa kuwa tayari una degree au zaidi.
Maana tuseme vyovyote iwavyo mfano mtu degree holder let's say civil.
Yeye ataitwa civil engineer/material engineer akiwa ana deal na experiments/tests za maabara kama CBR test, proctor test, permeability test, n.k
Na wala hatoitwa Technician hizi ni level zilizopangwa. Na wala sio mazoea
Mbona vyuo vingi tu vinachukua ma technician/diploma holders.