Kwa anayejua range ya mshahara wa matechnician wa Universities

Kwa anayejua range ya mshahara wa matechnician wa Universities

[emoji2] [emoji2] Huu ni mshahara wa senior lecturer mkuu
Kwa level ya Bachelor katika public universities mshahara wa huyo mtu ni kuanzia PUSS 4.1, wanaofahamu watakuja wakutafsirie hii scale. Karibu sana.
 
Back
Top Bottom