Mleta mada,
kuna maana mbili za "Technician". Either kama official designation au kama level of education.
Kwa official designation, ni sahihi kuwa na Technician mwenye Dgr mpaka PhD. Anakuwa based on technical aspects za kazi zake tu.
Ila, kwa level of education, its impossible either chuoni au mtaani Technician kuwa mmiliki wa Dgr mpaka PhD maana pindi atakapo pata either, jina lake litabadilika m.f from Civil Technician Msuya to Eng Msuya or Dr. Msuya.
Kingine, toka mwaka juzi, chuo hakiajiri mtu aliyepata GPA ndogo ya Masters na Degree sababu saivi (tofauti na zamani) ajira zote zinasimamiwa na Serikali na si vyuo binafsi. Hivyo usipofikisha the required GPA, say ulikuwa una Degree, ukawa Lab Tech au Assistant Lec, ukipata GPA ndogo wakati wa kusoma Masters, unatolewa kwenye idara ya kufundisha completely maana unakuwa haujakidhi vigezo, haupewi u-Assistant au u-Technician wa huruma tena maana ajira hutolewa na serikali na sio chuo.
Kuhusu PhD ndo usiseme kabisa, hasa hizi za Eng m.f Civil.
-Regards.