JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 274
Sawa asante, ngoja nisubiri maoni ya wengine? Kwahyo Huyo technician haruhusiwi kujiendeleza? Ila nahisi tumechanganya lugha ila wale ma technician vyuoni huwa na bachelors, MastersSasa mtu ushasema technician sasa atakuwa na vp na bachelor au master au Phd?
Technician anakuwa ni mtu wa kazi za vitendo na anakuwa ni holder wa ordinary diploma kwa mfumo wa sasa na kwa mfumo za zamani anakuwa ni holder wa FTC(Full Technician Certificate).
Ukishakuwa na Degree ya Engineering unakuwa Engineer huwezi kuwa TechnicianTechnician imekuwa kama ni wadhifa zaidi na si elimu! Nawafahamu graduates kadhaa walioajiriwa kama Technicians ingawa mishahara ni zaidi ya engineers wa Tanesco na Tanroads[emoji28], pengine ni tatizo la ajira.
Hajajua Mana ya technician Ina maana Pana Sana. Sema yeye anawajua kuwa technician mpaka uwe na diploma.Sawa asante, ngoja nisubiri maoni ya wengine? Kwahyo Huyo technician haruhusiwi kujiendeleza? Ila nahisi tumechanganya lugha ila wale ma technician vyuoni huwa na bachelors, Masters
Wewe jamaa bwanaSawa asante, ngoja nisubiri maoni ya wengine? Kwahyo Huyo technician haruhusiwi kujiendeleza? Ila nahisi tumechanganya lugha ila wale ma technician vyuoni huwa na bachelors, Masters
Unadhani kuitwa technician manaye unayo diploma mkuuUkishakuwa na Degree ya Engineering unakuwa Engineer huwezi kuwa Technician
Mtu ukiwa na bachelor degree ya engineering wewe huitwi Technician bali utaitwa engineer, bali wewe engineer specifically unatakiwa ujue technical issues zinazohusiana na field yako,engineer anakuwa zaidi ya Technician sikusudii kwamba engineer anajua kila kitu la hasha..Hajajua Mana ya technician Ina maana Pana Sana. Sema yeye anawajua kuwa technician mpaka uwe na diploma.
Kwa Mana nyingine inatokana na neno technical Sasa technical personel ni mtu wa Aina gani.labda tuanzie hapo ndo tudadavue Mana ya technical personal ama technician.
Zile maabara za chuoni mfano za watu wa electrical,civil, mechanical n.k huwa Zina laboratory technician Ila vigezo vyako ni bachelor na sio diploma Kama jamaa anavyojinasibu hapo juu.
Ama atafute tangazo ambalo mfano udsm walihitaji technical person na kigezo kikawa ni diploma.
Ulishawahi kuliona Tangazo la ajira anatakiwa Technician wa mahala flani,Sawa asante, ngoja nisubiri maoni ya wengine? Kwahyo Huyo technician haruhusiwi kujiendeleza? Ila nahisi tumechanganya lugha ila wale ma technician vyuoni huwa na bachelors, Masters
Wapo walio na PhD, tena wengi pia... Ingia mavyuoni utawakutaSasa mtu ushasema technician sasa atakuwa na vp na bachelor au master au Phd?
Technician anakuwa ni mtu wa kazi za vitendo na anakuwa ni holder wa ordinary diploma kwa mfumo wa sasa na kwa mfumo za zamani anakuwa ni holder wa FTC(Full Technician Certificate).
Kumbe kuna tatizo kubwa hapa, kuna watu wana uhaba wa vitu vidogo kama hivi...Ukishakuwa na Degree ya Engineering unakuwa Engineer huwezi kuwa Technician
Mie nataka nilione hilo Tangazo la ajira anatakiwa Technician,Wapo walio na PhD, tena wengi pia... Ingia mavyuoni utawakuta
Una safari ndefu sana...Mtu ukiwa na bachelor degree ya engineering wewe huitwi Technician bali utaitwa engineer, bali wewe engineer specifically unatakiwa ujue technical issues zinazohusiana na field yako,engineer anakuwa zaidi ya Technician sikusudii kwamba engineer anajua kila kitu la hasha..
Ila ki grade kila kitu kimegaiwa mahala pake.
Mwenye diploma anakuwa technician,ni msaidizi wa engineer kama kumsaidia kufanya baadhi ya practical let's say civil technician yeye atafanya kazi za ku collect data na kuzi manipulate.
Engineer yeye atazi calculate pamoja na kufanya design hizo data alizozipata kutoka kwa technician.
Sasa mleta mada yeye defanetly kakusudia juu ya mgawanyo wa mshahara kwa kuzingatia viwango vya elimu.
Sasa mie nikamwambia huwezi ukaitwa technician kwa kuwa tayari una degree au zaidi.
Maana tuseme vyovyote iwavyo mfano mtu degree holder let's say civil.
Yeye ataitwa civil engineer/material engineer akiwa ana deal na experiments/tests za maabara kama CBR test, proctor test, permeability test, n.k
Na wala hatoitwa Technician hizi ni level zilizopangwa. Na wala sio mazoea
Mbona vyuo vingi tu vinachukua ma technician/diploma holders.
Lete ushahidi hata kwa Tangazo la ajira lililopita ili niamini madai yako, na wala sipo kubishana hapaUn
Una safari ndefu sana...
Kama upo kujifunza basi jitahidi... Mwenzio mpka kaja na hiyo orodha, ina maana haikuwa bahati mbaya....Mie nataka nilione hilo Tangazo la ajira anatakiwa Technician,
Alaf katika educational requirements awe holder wa degree,master au Phd.
Basi mie sipo kubishana bali nipo kujifunza zaidi maana mie maishani mwangu mpaka sasa sijapatapo kuona kitu hicho.
Mtafute HR aliye karbu na wewe atakusaidia kuondoa ukungu ulionaoLete ushahidi hata kwa Tangazo la ajira lililopita ili niamini madai yako, na wala sipo kubishana hapa
Sasa ningelimuomba huyo mleta mada alilete hilo tangazoKama upo kujifunza basi jitahidi... Mwenzio mpka kaja na hiyo orodha, ina maana haikuwa bahati mbaya....
Nenda ktk miundo ya utumishi utajua kuna madaraja ambayo yana tokana na uzoefu, pia na elimu