JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 274
- Thread starter
-
- #21
a person employed to look after technical equipment or do practical work in a laboratory.Kwani dictionary inasemaje?
Hapo sasa ndio umeuliza kwa ma vyuoni bado sijajua range za mishahara yao.All in all , wale ambao sio malecturer Bali wao wanafundisha practicals tu katika chem lab, biological or botanical lab etc...mishahara yao inarange vipi akiwa na Bachelor au Master ndio swali langu
Educational requirements?a person employed to look after technical equipment or do practical work in a laboratory.
"a laboratory technician"
- an expert in the practical application of a science.
Ni either umekariri au hujui.Sasa mtu ushasema technician sasa atakuwa na vp na bachelor au master au Phd?
Technician anakuwa ni mtu wa kazi za vitendo na anakuwa ni holder wa ordinary diploma kwa mfumo wa sasa na kwa mfumo za zamani anakuwa ni holder wa FTC(Full Technician Certificate).
Reason?Ni either umekariri au hujui.
Unaweza ukawa na PhD na ukawa technician.
Kuna Technician mmoja alinifundisha Practical za Survey na GIS, pale Chuoni. Ni PhD holder.... Yupo Vizuri Sana....Tena Sanaaa Tu aliwahi sema wakati anaajiriwa pale Chuoni alikuwa na Diploma..Ni either umekariri au hujui.
Unaweza ukawa na PhD na ukawa technician.
Nina ndugu yangu ni Lab technician ila ni Phd holder.Kama upo kujifunza basi jitahidi... Mwenzio mpka kaja na hiyo orodha, ina maana haikuwa bahati mbaya....
Nenda ktk miundo ya utumishi utajua kuna madaraja ambayo yana tokana na uzoefu, pia na elimu
Sawa hapo nimekuelewa kumbe aliajiriwa na diploma na kwa nafasi ya technician ila alijiendeleza elimu ila alabakia na nyadhifa hiyo hiyo ya u technician ila kimshahara nahisi atakuwa ameongezwa kutokana na elimu yake na ubobezi wake.Kuna Technician mmoja alinifundisha Practical za Survey na GIS, pale Chuoni. Ni PhD holder.... Yupo Vizuri Sana....Tena Sanaaa Tu aliwahi sema wakati anaajiriwa pale Chuoni alikuwa na Diploma..
Nikiwa chuoni tulikua na Dr ambaye alikua anajulikana kama technician, na yeye alikua hafundishi somo ila muda wake mwingi alikua Lab!Reason?
Kwahiyo tuseme mfumo huo wa matangazo ya technician wenye Phd ni. Kwa ajili ya vyuo tu?Nina ndugu yangu ni Lab technician ila ni Phd holder.
Kuna zaidi ya hicho unachojua... mfumo wa chuo ni tofauti na kitaa.Mie ninachojua unaweza ukawa na master au PhD ya engineering na usiwe professional engineer.
Anhaa kumbe utafiti ulio experience chuoni ila sio mtaani na kwengineko.Nikiwa chuoni tulikua na Dr ambaye alikua anajulikana kama technician, na yeye alikua hafundishi somo ila muda wake mwingi alikua Lab!
Prof anapofundisha theory tunaenda lab kukutana na huyo Dr kwa ajili ya vitendo ili ku supliment tulicho fundishwa na prof darasani.
Reason, kwa mujibu wa katafiti kangu kadogo...
Unakuta mtu umesoma Masters lakini umeshindwa kufikisha vigezo (gpa) kwa ajili ya kufundisha basi utapewa masters na utabakishwa chuoni ila hautapewa somo ufundishe bali utakua technician wa lab, kazi yako kuu inakua ni ku guide wanafunzi kwenye practicals baada ya kufundishwa Dr au Prof darasani.
NB: Technician anaye ongelewa hapa sio wa site/mtaani bali ni wa lab za chuo kikuu!
NB 2: This is not official reason ila ni kutokana na kautafiti niliko fanya back then!
Na ukifwatilia vizuri utakuta either hakuwa na GPA nzuri level ya masters au degree!!Kuna Technician mmoja alinifundisha Practical za Survey na GIS, pale Chuoni. Ni PhD holder.... Yupo Vizuri Sana....Tena Sanaaa Tu aliwahi sema wakati anaajiriwa pale Chuoni alikuwa na Diploma..
Chuo kikuu ni tofauti na kitaa, technician wa kitaa ni mtu mwenye diploma ila chuo kikuu unaweza ukawa na PhD na bado ukawa technician yaani huruhusiwi kufundisha somo unless chuo kiwe na upungufu wa wakufunzi kwenye hiyo field husika.Anhaa kumbe utafiti ulio experience chuoni ila sio mtaani na kwengineko.
Ila wadau wengi wamesema kama ulivyosema ww
Inawezekana kabisa kwa sababu kuwa Professional Engineer lazima ukidhi vigezo vya Board husikaMie ninachojua unaweza ukawa na master au PhD ya engineering na usiwe professional engineer.
Na ukifwatilia vizuri utakuta either hakuwa na GPA nzuri level ya masters au degree!!
Hujamuelewa sheikh,kwenye vyuo vikuu,huwa Kuna ma technician ambao huwa wanawasaidia wanafunzi wa ngazi za bachelor,Masters,PHD kufanya practicals zao,kama kuwatayarishia vifaa nk,sasa mdau anauliza,hao matechnician wanalipwa ngapi?kuanzia wale wanaosaidia watu wa bachelor mpaka PHDSasa mtu ushasema technician sasa atakuwa na vp na bachelor au master au Phd?
Technician anakuwa ni mtu wa kazi za vitendo na anakuwa ni holder wa ordinary diploma kwa mfumo wa sasa na kwa mfumo za zamani anakuwa ni holder wa FTC(Full Technician Certificate).