Kwa anayejua Sheria ya Mirathi, Urithi kwa watoto waliochangia mama, yupi mwenye haki?

very interesting....
kesi ni rahisi baada ya majibu ya masuali haya:

1-Je huyo mama amefariki akiwa bado muislam?
2-Je watoto wake wote 6 ni waislam?
Kama majibu ni NDIO, basi watoto wote wanastahili kurithi kwa mujibu wa sheria ya kiislam ya mirathi.
Maelezo:
-Alichopewa mtoto na mama yake wakati wa uhai wake kinabakia kua chake na hakijumlishwi katika mirathi.
-Yanalipwa madeni yote anayodaiwa mama.
-Mali yote aliyoiacha mama itapigwa thamani,na kugaiwa kwa mujibu wa thamani hiyo. Na ikibidi mali nyengine ziuzwe ili wagaiwe warithi.

Mgao:
1-Akiwepo Baba na/au mama wazazi wa huyo mama.
-Baba na mama kila mmoja atapata 1/6 ya mali yote.
-Kitakachobaki baada kutoa hizo 1/6 mbili za baba na mama au mmoja wao ndio watachukua watoto kwa mfumo huu:
Kila mtoto wakiume atapata mara mbili ya atachopata mtoto wa kiume.

2-Kukiwa hakuna baba.mama(babu na bibi wa watoto)
-Mali yote wanachukua watoto kwa mfumo wa mbili kwa mwanaume na moja kwa msichana.
 
Kwa haraka, watoto wote wa yule Mama wanahaki ya kurithi mali alizoacha mama yao bila kujali baba yao ni nani. Wale watoto aliozaa na Bwana ambaye walipoachana waligawana mali, wanayo haki ya ziada ya kurithi mali kutoka kwa Baba yao.

Acha mawazo ya kizamani kwamba watoto wa kike hawana haki ya kurithi mali.

Tiba

mtazamo binafsi au sheria inasema maana hili ni jukwaa la sheria if possible wakati unatoa jibu weka na hicho kifungu cha sheria kinacho justify maneno yako!!!
 
very interesting....
kesi ni rahisi baada ya majibu ya masuali haya:

1-Je huyo mama amefariki akiwa bado muislam?
2-Je watoto wake wote 6 ni waislam?
Kama majibu ni NDIO, basi watoto wote wanastahili kurithi kwa mujibu wa sheria ya kiislam ya mirathi.
Maelezo:
-Alichopewa mtoto na mama yake wakati wa uhai wake kinabakia kua chake na hakijumlishwi katika mirathi.
-Yanalipwa madeni yote anayodaiwa mama.
-Mali yote aliyoiacha mama itapigwa thamani,na kugaiwa kwa mujibu wa thamani hiyo. Na ikibidi mali nyengine ziuzwe ili wagaiwe warithi.

Mgao:
1-Akiwepo Baba na/au mama wazazi wa huyo mama.
-Baba na mama kila mmoja atapata 1/6 ya mali yote.
-Kitakachobaki baada kutoa hizo 1/6 mbili za baba na mama au mmoja wao ndio watachukua watoto kwa mfumo huu:
Kila mtoto wakiume atapata mara mbili ya atachopata mtoto wa kiume.

2-Kukiwa hakuna baba.mama(babu na bibi wa watoto)
-Mali yote wanachukua watoto kwa mfumo wa mbili kwa mwanaume na moja kwa msichana.

Majibu ya maswali uliyouliza ;
Huyu mama alifariki akiwa Mkristo (Alibadili Dini)
Kwa upande wa watoto wale watoto wawili (Wandoa) wao waislamu.
Lakini hawa watoto wengine ni wakristo
 
mtazamo binafsi au sheria inasema maana hili ni jukwaa la sheria if possible wakati unatoa jibu weka na hicho kifungu cha sheria kinacho justify maneno yako!!!

Ni kweli vifungu hapa vinahusika
 
Back
Top Bottom