very interesting....
kesi ni rahisi baada ya majibu ya masuali haya:
1-Je huyo mama amefariki akiwa bado muislam?
2-Je watoto wake wote 6 ni waislam?
Kama majibu ni NDIO, basi watoto wote wanastahili kurithi kwa mujibu wa sheria ya kiislam ya mirathi.
Maelezo:
-Alichopewa mtoto na mama yake wakati wa uhai wake kinabakia kua chake na hakijumlishwi katika mirathi.
-Yanalipwa madeni yote anayodaiwa mama.
-Mali yote aliyoiacha mama itapigwa thamani,na kugaiwa kwa mujibu wa thamani hiyo. Na ikibidi mali nyengine ziuzwe ili wagaiwe warithi.
Mgao:
1-Akiwepo Baba na/au mama wazazi wa huyo mama.
-Baba na mama kila mmoja atapata 1/6 ya mali yote.
-Kitakachobaki baada kutoa hizo 1/6 mbili za baba na mama au mmoja wao ndio watachukua watoto kwa mfumo huu:
Kila mtoto wakiume atapata mara mbili ya atachopata mtoto wa kiume.
2-Kukiwa hakuna baba.mama(babu na bibi wa watoto)
-Mali yote wanachukua watoto kwa mfumo wa mbili kwa mwanaume na moja kwa msichana.