M mzee wa manzese JF-Expert Member Joined Oct 31, 2012 Posts 670 Reaction score 216 Jul 23, 2013 #1 natumaini wote ni wazima,nina ndugu anasumbuliwa sana na mcho huwa yanawasha,yanatoa machozi hasa kipindi cha baridi,ninaomba kama kunamtu anamfahamu doctor mzuri wa macho atujuze tukamwone tujue tatizo tuko dar es salaam
natumaini wote ni wazima,nina ndugu anasumbuliwa sana na mcho huwa yanawasha,yanatoa machozi hasa kipindi cha baridi,ninaomba kama kunamtu anamfahamu doctor mzuri wa macho atujuze tukamwone tujue tatizo tuko dar es salaam
N ngwenda ngulya Member Joined Jun 6, 2012 Posts 44 Reaction score 33 Jul 23, 2013 #2 Mimi nakushauri nenda msasani - CCCBRT hospital. Hapo utasaidiwa vizuri zaidi.
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 993 Jul 23, 2013 #3 Kweli nenda CCBRT Msasani.